Mvua yaleta balaa Dar..nyumba zazingirwa na maji

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha mushkeli mkoa wa Dar baada ya maji kutuama na kuzingira nyumba,
Wakazi wa Tegeta Dar wakizungumza na ITV wamedai inatokana na ujenzi holela ambapo kila mtu anayejenga haweweki mitaro ya kuondoa maji
 
Back
Top Bottom