salama jamani.
Jamani sikujua kama bunju A nilipouziwa kuna mkondo wa maji kiasi hiki. Yamepanda nyumba yanataka kuingia ndani. Jamani jamani, jirani yangu analia hapo nje. Mvua ya leo c mchezo ndugu, kwenu vipi wenzetu tupeane habari tafadhali.
Pole sana mkuu, this is the work of mother nature.
Ni vema kuuliza historia ya mahali kabla hujauziwa, kwa sababu unaweza kuuziwa kiwanja cha shule, eneo la wazi, bonde la maji ama sehemu iliyowahi kupatwa na landslides siku za nyuma. Hata hivyo mshukuru Mungu kwamba uko salama, salimisha uhai wako kwanza, haya mengine utajaaliwa na Mungu.
salama jamani.
Jamani sikujua kama bunju A nilipouziwa kuna mkondo wa maji kiasi hiki. Yamepanda nyumba yanataka kuingia ndani. Jamani jamani, jirani yangu analia hapo nje. Mvua ya leo c mchezo ndugu, kwenu vipi wenzetu tupeane habari tafadhali.
Poleni sana!! ..Tambua vyomba vya hali ya hewa vinategemea mvua kuendela hadi mwisho wa wiki! Jambo l msingi ni kuhama kabla..do waht is needfull and quit for a safe place ...when its not too late Lady G!!
Poleni wapendwa wenzetu, jambo la msingi ni kuhama kabisa Darisalama mnakaribishwa Arusha tuandamane! Huku ni mabomu tu huwa yanatukomaza. Tusichekane kila mtu kaumbiwa taabu yake, sometime hata kwenye msiba wanatakiwa wacheshi ili tujaribu kusahau maswahibu. Tunawapenda