Tunduru ni kubwa sana...hiyo mvua inashesha pande zipi hapo wilayani. Ni mvua ya kawaida au ya mawe?
Tunduru ni kubwa
sana...hiyo mvua inashesha pande zipi hapo wilayani. Ni mvua ya kawaida
au ya mawe?
Jana na leo mchana imenyesha lakini ni yakawaida sana,haina madhara
showme uko pand hiz hiz nin.mmh mana mvua ya jana ulikuwepo na leo upo kulkon.au ulicmuliwa?
uko mtaa gan?mi nko mtaa wa emubiesi.
MBS napafahamu mitaa yote hiyo kwangu,sipo mbali nawe.
umexoma sekondary gan?
apapa 2ndur?mwaka gan ulimalza?kwa mm nimexoma FRANK WESTON SEKONDARY
SCHOOL, I HAVE GRADUATED-2012 FORM FOUR.