hahaHamna kitu nilikuwa najiulizaga kama huyoo katarina ni nani? Nikawa naambiwaga ni Mungu.
Kwny avatar Nan nan uyo?Pazuri apo mahali
Kwny avatar Nan nan uyo?
Hahahaha... inaonesha hukuwa na nia njema kwny shamba lq watu. Huo ulinz tuu wa mwny Shamba. Usirudie tenaUmenikumbusha siku sitasahau.nilifumaniwa na bonge la mvua la mawe nilikuwa shambani halafu hakuna miti nilitandikwa hadi nikawa naishiwa nguvu na pumzi damu zilinitoka siku hiyo maana mabonge ya barafu yalikuwa makubwa!usiombe kukutwa na mvua halafu hakuna pa kujificha
Nmeuliza tuuu jmn. Kiswali kimoja tuu?kuwa muungwana kdgHahahahah maswali Kama polisi
Hata mm nlitaka kuuliza hivyohivyo... , so kuwa huru kujib swali la maafande wawiliHahahahah maswali Kama polisi
Umenikumbusha siku sitasahau.nilifumaniwa na bonge la mvua la mawe nilikuwa shambani halafu hakuna miti nilitandikwa hadi nikawa naishiwa nguvu na pumzi damu zilinitoka siku hiyo maana mabonge ya barafu yalikuwa makubwa!usiombe kukutwa na mvua halafu hakuna pa kujificha
Kila mvua kubwa ianzapo kunyesha huwa nakakumbuka hako kawimbo cha enzi hizo nikiwa mdogo.