Mvua kubwa Mtwara

Vp kule kwa miaka yote vp pande za kiangu kumesalimika
 
VIP Pale Nabwada pamesalimika kweli!
Au kuna miundombinu ilifanyika pale?
 
Mpaka sasa Tandahimba huku inapiga si kitoto...

Maeneo mengi yameathirika sana kwani barabara hazipitiki na maji yameingia ndani.
Hali ni mbaya na mvua bado ina kila dalili kuwa itaendelea.
 
Hapa ni himo one mgahawa wa wasomari siku hizi kuna vilami lami unaweza kusahau sema nyumba bado sana
Yes sawa sawa mkuu panaitwa Himo One, Nimeacha pia wanaongezea ongezea vilami, Kwa kweli swala la nyumba jamaa hao bado sanaaa yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…