Ni wapi huko mkuu niambie ulipo mitumbwi ninayo tayari.Naomba namba ya mchonga mitumbwi kama unayo, huku kwangu kimenuka
Nkana RedNi wapi huko mkuu niambie ulipo mitumbwi ninayo tayari.
Mji mzima, tangu saa saba usiku had hivi sasaSasa inanyesha maeneo gani? Mikindani, Chikongola Ligula, au Mtwara mzima
Sasa inanyesha maeneo gani? Mikindani, Chikongola Ligula, au Mtwara mzima
Engineer Sambwe Sijabaje kapona kweli Huko kwake Chuno?Chuno, Kianga , shangani, yote imejaa maji mvua ni kubwa saana yaani tangu saa saba usiku mpaka sasa saa nane mchana ni mvua tuu ,baharini kote ni mvua tu sehemu za miseti ni hatari mnoo ,maji ktk baadhi ya maeneo kama mbezi, magomeni yameanza kuingia majumbani
wewe ni shoga, choko au punga? Marijali hawana uandishi wa AINA yakoAta Rock çity inanyesha xaiv....npo st augustine kweny mahafari mvua inànyexha ila tunaendelea tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
duh wazee wa kwa roho safii poleni sanaaa asee..Nkana Red