Hyo mvua inapigia kutokea huku ddm Kisha Moro imepiga kubwa Sana na huko dar usku wa leo itakuwa kubwa maradufu hayo Ni kutoka mamlaka za utabiri wa Hali ya hewa
Makabe ndo home,kama dk 22 zilizopita niliongea na mtu yupo kule akasema mvua imekata though nipo town huku maji bado yanashuka.
Unaweza kuangalia utaratibu namna ya kuelekea pia barabara nzuri kwa sasa ya kupita pita hii ya madukani imechongwa majuzi tu hapa na bado jamaa walikuwa kazini kuiboresha.