Wanaomwelewa huyu Mkuu wana matatizoAISEE NIMEAMINI MUNGU ANASIKIa BANA
UNAJUA ASBH NILIPITA DARAJANI KAWE..Njia ya lugalo kwenda tegeta wamemwagika kama wako shule ndugu zetu
nikarudi kulala kidogo nikamwomba Mungu embu shusha mvua hata nisiwaone kabisa nianze mizunguko namii
navyoongea naandika huku vyoo vikilamba maji kwa mbaaliiii...ukihisi wanakusumbua hawa traffic we waombee mvua awaki hatasikumoja hatakama awajakusanya salio lao wataanza tu
wenzio wanalipa kansiiime alfu tisini kesho kutwa
mi niko uku sikuzote buree hata ulipii unata kuwiwa???
yaani wewe mwalimu wako wa lugha alikua ana kazi sana
sijui unafanyaga makusudi
wenzio wanalipa kansiiime alfu tisini kesho kutwa
mi niko uku sikuzote buree hata ulipii unata kuwiwa???
Wanaomwelewa huyu Mkuu wana matatizo
Wanaomwelewa huyu Mkuu wana matatizo
yaani wewe mwalimu wako wa lugha alikua ana kazi sana
sijui unafanyaga makusudi
kuwiwa ndo nini pdidy
Ahhh wapi, mbona anaeleweka tu. Pdidy mkongwe, mwaka wa saba huu bado anakimbiza.
Tahadhari: Mtu mwingine usiandike kama Pdidy, hautaeleweka............Hiyo ni copyright ya Pdidy tu.
kuwiwa ndo nini pdidy
Huyu jamaa kiboko, kasahihishwa kuhusu lugha ndo kwaanza kakoroga
Mambo ya tachi sikilini hayo.
Mambo ya tachi sikilini hayo.