habari zilizonifikia punde ni kuwa meli hiyo imetoweka ipozama. juhudi za kuisaka zinaanza na upo uwezekano wakaitwa wataalam kutoka maleshia wenye uzoefu mkubwa wa matukio yanayofanana na haya.
tuwaombee wabunge wetu wa kuteulia na jk, manake ni kazi ngumu sana kufanya uteuzi.
pamoja na kwamba leo ni siku ya wajinga, hii sijaipenda sana! naifananisha na mtu anayejaribu kuwapigia simu watoto wenzie kuwapa taarifa za uong kuwa baba kafariki dunia, simply ni april fools day! This is rather stupid!