Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,410
- 1,322
Unapovuka pale kivukoni na kigari chako, wasimamizi wa vivuko wanakataza magari kuvuka yakiwa na abiria ndani.
Hatua hii inaleta usumbufu sana kwa wahusika mara wanapofika hapo na usafiri na kuanza kutenganishwa.
Hivi katika karne hii hakuna njia nyingine inayoweza kufanywa watu wakavuka lwa usalama badala ya kukikimbilia njia rahisi ya kuwashusha watu kwenye usafiri na unakuta wengine ni wagonjwa.