Julai kumi nne siku hiyo jumapili
Mida ya saa nne dakika kumi mbili
Ni magoli manne kijani wako chali
Mwigulu na wengine wapata kichefu chefu
Makamanda Arusha twajimwaga Jey Efu
MV CCM,,,,,,Arusha kina kirefu
Shori acha kujigamba
punguza huo ushamba
Namkumbuka makamba
zee la kisambaa
chama alikipamba
kama brazil kwa samba
mifedha tukailamba
kunenepa kama komba
tukaota na magamba
kama nyoka na mamba
leo hii tumelambwa
mchemba mwampamba
watorokea kibamba
kweli ccm imekifu
hiki kina kirefu
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
JF kisima cha burudani, duh nimependa hapa zaidi ulivyomalizia.... ila umesahau Shoza pia alikuwa kibamba ndiyo kaibuka leo asubuhi.Shori acha kujigamba
punguza huo ushamba
Namkumbuka makamba
zee la kisambaa
chama alikipamba
kama brazil kwa samba
mifedha tukailamba
kunenepa kama komba
tukaota na magamba
kama nyoka na mamba
leo hii tumelambwa
mchemba mwampamba
watorokea kibamba
kweli ccm imekifu
hiki kina kirefu
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Julai kumi nne siku hiyo jumapili
Mida ya saa nne dakika kumi mbili
Ni magoli manne kijani wako chali
Mwigulu na wengine wapata kichefu chefu
Makamanda Arusha twajimwaga Jey Efu
MV CCM,,,,,,Arusha kina kirefu
cc MungiLIVEPOOLfc PretaJackbauerRutashubanyumaMzee MwanakijijiArushaoneFilipoPakaJimmy MingoiRitz