gwenivia Senior Member Joined Feb 22, 2014 Posts 118 Reaction score 20 Mar 4, 2014 #1 ipi ni sahihi kati ya muziki na mziki
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,231 Reaction score 26,750 Mar 5, 2014 #2 Muziki
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,278 Mar 7, 2014 #3 gwenivia said: ipi ni sahihi kati ya muziki na mziki Click to expand... Moja ni ya kuandika na inginekuzungumza. Muziki=kwenye maandishi. Mziki=katika mazungumzo.
gwenivia said: ipi ni sahihi kati ya muziki na mziki Click to expand... Moja ni ya kuandika na inginekuzungumza. Muziki=kwenye maandishi. Mziki=katika mazungumzo.
Price JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 1,502 Reaction score 922 Mar 7, 2014 #4 Nadhani ushapata jibu, Samahani na mimi naomba niunge humuhumu kwenye thread yako.... Ipi ni sahihi kati ya Nyimbo na Wimbo.
Nadhani ushapata jibu, Samahani na mimi naomba niunge humuhumu kwenye thread yako.... Ipi ni sahihi kati ya Nyimbo na Wimbo.
qn of sheba JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 3,230 Reaction score 1,382 Mar 8, 2014 #5 Price said: Nadhani ushapata jibu, Samahani na mimi naomba niunge humuhumu kwenye thread yako.... Ipi ni sahihi kati ya Nyimbo na Wimbo. Click to expand... Wimbo ulio bora
Price said: Nadhani ushapata jibu, Samahani na mimi naomba niunge humuhumu kwenye thread yako.... Ipi ni sahihi kati ya Nyimbo na Wimbo. Click to expand... Wimbo ulio bora
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,278 Mar 11, 2014 #6 Price said: Nadhani ushapata jibu, Samahani na mimi naomba niunge humuhumu kwenye thread yako.... Ipi ni sahihi kati ya Nyimbo na Wimbo. Click to expand... Mdau Price, maneno wimbo na nyimbo yanasumbua wengi. Wimbo ni umoja, (singular) na wingi wake ni nyimbo. Kwa hiyo tunasema: Msanii wa bongofleva alianza na wimbo wake maarufu wa 'you are my number one' kisha akaimba nyimbo nyingine tatu.
Price said: Nadhani ushapata jibu, Samahani na mimi naomba niunge humuhumu kwenye thread yako.... Ipi ni sahihi kati ya Nyimbo na Wimbo. Click to expand... Mdau Price, maneno wimbo na nyimbo yanasumbua wengi. Wimbo ni umoja, (singular) na wingi wake ni nyimbo. Kwa hiyo tunasema: Msanii wa bongofleva alianza na wimbo wake maarufu wa 'you are my number one' kisha akaimba nyimbo nyingine tatu.