Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,861
- 828
ni kwa nini nyimbo nyingi za bongofleva zinawahi kuisha ladha?nionavyo mimi wimbo ukitoka unavuma baada ya muda mfupi hakuna wa kuusikiliza tena!!.nisaidieni tafadhali
sahihi kabisaMedia ni nyingi mno....wimbo mmoja unaweza kuusikia zaidi ya mara 20 kwa siku. Na sifa ya wimbo ukiusikia mara nyingi ndivyo unavyozidi kuuchoka hence unachuja.