God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
daaa nlikuan na wazia kua celebrity siku moja ila bado nakutana na vikwazo vingi sana. mf msanii kupata mkwanja anategemea sana show, vinginevyo ni viguu, ishu za ringtone bado naona hali tete. mambo yetu ya kuuza cd kama zaman bado magum coz mtu unadownload unasepa. hakuna site maalum ya kununua nyimbo ili hela iingie kwenye account ya msanii. mfano marekani wana site kibao kama itune n.k
inshort naona wasanii watoe nyimbo kali ili zivute attention ya watu pia wadau wakujitoa tusapot wenzetu kwenye hii gemu nio hayo tuu kwa leo.
inshort naona wasanii watoe nyimbo kali ili zivute attention ya watu pia wadau wakujitoa tusapot wenzetu kwenye hii gemu nio hayo tuu kwa leo.