condorezaraisi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 225
- 116
Wadauz mambo yenu jamani na huu mchakato wa kupata katiba mpya unavyosumbua akili zetu ..
Rafiki yangu anatatizo linalomyima raha na usikungizi hata kutamani kuikimbia ndoa yake..
yeye ni mtu aliyelelewa na kukulia katika misingi ya dini na kuamini mungu ni kila kitu kwake ..
Baada ya kuingia kwenye ndoa yake amekuta mzee wake hata akisikia Panya analia darini atakimbia kwa Kalumanzira..ingawa ndoa walifungia kanisani na mme anaenda kanisani kama kawaida ..
Huyu mama amejaribu kumwambia mmewe kwa Lugha nzuri mmewe anamtukana na kutokumsikiliza ..
Anaomba ushauri wenu wa nini afanye ili msongo wa mawazo unaomsumbua usijemletea Presha ya Ndoa:A S 39: