Muwasho baada ya kuogelea kwenye swimming pool

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Je, wewe ni mpenzi wa kuogelea kwenye swimming pool?
Ni mara ngap unapata muwasho mara baada ya kuogelea kwenye swimming pool?
Watu wengi huwa hawafahamu kwamba asilimia kubwa ya waogeleaji huwa wanapenda kujisaidia haja ndogo na hata kubwa kwenye swimming pool...
Muwasho unaotokea mara baada ya kuogelea unasababishwa na 'reaction' kati ya mkojo na Chlorine iliyopo kwenye maji ya kwenye swimming pool na wala siyo chlorine peke yake kama watu wanavyozani...
 
Siku moja nipo zangu Gheto, Mara waaah!! Simu
ikaita, kamvua kalikuwa kamenyesha kiubaridi cha
kutosha.
Kucheki ni Jirani yangu, binti fulani amejaaliwa
haswa.
"SIDE upo kwako?" Nikamwambia nipo.
"Nakuja sasa hivi kukupa ROMANSI"
Ebwana eeh nikashtuka.... Sikuamini nimeokota
dodo jangwani. Nikajikoki nikatandika kitanda fresh
nikasema leo ndio leo. Na hiki kibaridi napewa
romansi
He!! Mara akaingia amevalia jinsi na mkoba wake
begani.
"Nasikia ROMANSI eti kodi imepanda kuanzia
mwezi ujao tunalipa elfu 30"
He! Kamaliza huyooo kaondoka.
# Dah yaani kumbe anachapia badala ya RUMOURS
(tetesi) yeye anasema ROMANSI.....
# Nilikaa wiki nzima simsemeshi......
 
Siku moja nipo zangu Gheto, Mara waaah!! Simu
ikaita, kamvua kalikuwa kamenyesha kiubaridi cha
kutosha.
Kucheki ni Jirani yangu, binti fulani amejaaliwa
haswa.
"SIDE upo kwako?" Nikamwambia nipo.
"Nakuja sasa hivi kukupa ROMANSI"
Ebwana eeh nikashtuka.... Sikuamini nimeokota
dodo jangwani. Nikajikoki nikatandika kitanda fres
nikasema leo ndio leo. Na hiki kibaridi napewa
romansi
He!! Mara akaingia amevalia jinsi na mkoba wake
begani.
"Nasikia ROMANSI eti kodi imepanda kuanzia
mwezi ujao tunalipa elfu 30
He! Kamaliza huyooo kaondoka.
# Dah yaani kumbe anachapia badala ya RUMOURS
(tetesi) yeye anasema ROMANSI.....
# Nilikaa wiki nzima simsemeshi......
Ukome kuwaza michepuko kila wakati.
 
Back
Top Bottom