1000 words
Senior Member
- Dec 29, 2012
- 169
- 32
nashangaa kuna PS wake hapa jamvini sijui ameenda wapi siku izi? Make alikua anajibu maswali yote yanayomuhusu domo. By the way mtalaka atongozwi kwaio sishangai domo kurudiana na Wema.
nashangaa kuna PS wake hapa jamvini sijui ameenda wapi siku izi? Make alikua anajibu maswali yote yanayomuhusu domo. By the way mtalaka atongozwi kwaio sishangai domo kurudiana na Wema.
Aiseeee...hata mm nimesikia penny kapelekwa hospital sijui anaumwa nn...kumbe maneno yale ya watu yalikua na ukweli...haya ss penny mwsho wa ubaya aibu
nmesikia penny kazimia baada ya kuona hizi picha na amewahishwa hospital xo sijui ni kwel oo,,,wapi heaven on desert ii ni kweli
2takuaminije asa coz najua unasema hivo kumtetea ex shem wako 2 juc kubali now shem wako n wema coz ndiko roho ya diamond ime2lia apo au sio,,, nmesoma bongo 5 now amesema penny amelia siku nzima na kama n muvi utasubir adi miguu iingie 2mbon coz ii n reallty c muvisiku nzima Penny yupo kazin anafanya kazi ya kujenga taifa.
Watz mnatiaga raha saa zingine!!!!
2takuaminije asa coz najua unasema hivo kumtetea ex shem wako 2 juc kubali now shem wako n wema coz ndiko roho ya diamond ime2lia apo au sio,,, nmesoma bongo 5 now amesema penny amelia siku nzima na kama n muvi utasubir adi miguu iingie 2mbon coz ii n reallty c muvi
Hahahaha,yule PS yupo naona huu uzi hajauona ila nadhani muda si mrefu atakuja kutoa ufafanunuzi apa lol!
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
heaven on desert,,, come here man! answer the case!nashangaa kuna PS wake hapa jamvini sijui ameenda wapi siku izi? Make alikua anajibu maswali yote yanayomuhusu domo. By the way mtalaka atongozwi kwaio sishangai domo kurudiana na Wema.
nimepitia uo uzi woote umesema 2 but c kwel juc unamtetea ex shem wako mpe pole mwambie 2nataka afunguke mwenyewe coz kuna blog nmesoma now eti kanywa sumu teh teh polen tena saaana na kina halima kimwana,,esma platnum na badra nyie wooote yamewashukaNenda kwenye post ya Diamond na Wema warudiana
kuna kithibitisho nimeweka ..
kuhusu hizo blah blah za cjui Peny kalia ..cjui Kapelekwa Hospital
2takuaminije asa coz najua unasema hivo kumtetea ex shem wako 2 juc kubali now shem wako n wema coz ndiko roho ya diamond ime2lia apo au sio,,, nmesoma bongo 5 now amesema penny amelia siku nzima na kama n muvi utasubir adi miguu iingie 2mbon coz ii n reallty c muvi
Inatia raha sana kuona watu wanvyochambua na kujadili vitu ambavyo
nyie pekee ndio mwajua wats goin on.
Piga kazi dude achana na wanafki wa kibongo wanapenda kuona unakaa chini ya miti bila kazi kushindana na vivuli...hawapendi kuona mtu anafanya kazi
alafu asilimia kubwa humu wameajiriwa ila kuona mtu mwingine kaajiliwa roho zinawauma kichizi..
ila nikupe ushauri tu,wasiliana na boss wako kabla ya kuwa unamtetea au kupost kitu kinamhusu haswa masuala ya mapenzi inaweza ikamsababishia matatizo kwa namna moja au nyingine nimeona post zako za kumtetea Diamond zimekuwa za hisia kali mpaka mda mwigine unavuka mipaka na kuongelea strategies za kibiashara za boss(kama ni kweli)kitu ambacho si sawa kuwa makini watu wanakupandisha mori ili uropoke tu kesho huwezi jua Diamond atachukuliaje hizi post zako humu...
ni hayo tu!
Umesikika mkuu