Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 9,405
- 13,445
Imagine muuza madafu anamuhakikishia Samia eti usiwe na waswas uko salamaYeye ndo wa kumuhakikishia rais yuko salama? Hii nchi ina vituko sana!
Imagine muuza madafu anamuhakikishia Samia eti usiwe na waswas uko salamaYeye ndo wa kumuhakikishia rais yuko salama? Hii nchi ina vituko sana!
Nina uhakika wa 100% ile Mijuha ( Fools ) hapa itaamini na kukuamini wakati wenye Akili tunajua kuwa hata siyo Yeye.
Unahamu
Kwani shida nini nikimuahakikishia Rais kuwa mambo yote yapo salama?Imagine muuza madafu anamuhakikishia Samia eti usiwe na waswas uko salama
Nashangaa wanalazimisha kuwa yule ni mimi. Mimi sio komando ni muuza madafu tu.Nina uhakika wa 100% ile Mijuha ( Fools ) hapa itaamini na kukuamini wakati wenye Akili tunajua kuwa hata siyo Yeye.
Mi naweza kwani nimejifunza mtaani sanaa za mapigano ila yule sio mimi.Na ni ngumu sana Hata Baadhi ya Wacheza Karate kuzungusha huwa hawawezi
Ila yule sio mimi.Haina mjadala tena huyo ndio yeye mwenyewe captain ambae pia ni CDO. Ukifika cheo cha captain unaweza kupewa jukumu ambalo ukitaka kufanikisha kitu unakuwa ni disguise. Yupo ambae aliwahi kuact kama kocha wa mpira kilichofata ni historia, yupo aliact kama muuza dagaa kigoma, mafuta ya mawese na kadhalika kilichofata wazee wa magendo walisimulia. Najua wengi wako ni denial ni kawaida sana
Ila yule sio mimi. Mimi ni muuza madafu tu.Field officers wako wengi sana mtaani na kila kada tena boda ndo wengi sana..hyo ni message sent kwamba ulipo tupo.
Nashangaa wanalazimisha kuwa yule ni mimi wakati mi ni muuza madafu tu.Ndio ni muha muuza madafu alicheza karet na boxing na yeye yule jamaa alimuona akiwa Kwa mama ntilie tu kwenye luninga
Ndio, ndio kazi zangu hizo.Ndo tunavyoambiwa eti muuza madafu na Boda boda pia 😅😅🤣🤣
Mimi sio mjeshi. Mi ni muuza madafu tu.HIyo video ilionyeshwa anahojiwa na Millard ayo anasema yeye Sio mjeshi sema anafanana na Yule Komando..
😂😂
Dogo unatumia nguvu nyingi sana kufanya mambo ya kipuuzi. Tafta kazi ya kufanya dogo🚮Ila yule sio mimi. Mimi ni muuza madafu tu.
Anapiga zoezi la nguvu Kwa ajili ya kujilinda dhidi ya askari wa Jiji wanaowapokonya madafu yaoMuuza madafu anapenda kucheza Kareti na Boxing.
Kula chuma hicho Mwaisaa
Mpumbavu wa kumpuuza tu amekazana sio mimi sio mimi na watu hawana hata habari nae punguani huyo.Dogo unatumia nguvu nyingi sana kufanya mambo ya kipuuzi. Tafta kazi ya kufanya dogo🚮
Bro jobless ni wengi sana nchi hii especially hawa watoto wa mwaka elfu mbiliMpumbavu wa kumpuuza tu amekazana sio mimi sio mimi na watu hawana hata habari nae punguani huyo.
😵💫Vyenye tija tutakamatwa mkuu na hatuna pesa ya kumlipa wakili.
Mfano; ndg yako akipotea na kutangaza, serikali inakwambua unaleta taaruki (taharuki) unawekwa nyuma ya geti.
Ukidai sukari bei juu na bango lako unatupiwa guruneti la moshi wa kuwasha uangaike nao.
Sasa serikali kupitia movie kama hizi huko ndani wanafurahi na ndipo wanafanya yao, sisi wanatuona like mazuzu yaliyopewa vipande vya kioo, nasi tukawapa dhahabu 🙂!.
Inaitwa nunchaku.Na ni ngumu sana Hata Baadhi ya Wacheza Karate kuzungusha huwa hawawezi