Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,154
- 13,376
Anahitajika msichana/mwanamke wa kuuza duka dogo hapa Morovian na anayeweza kutengeneza vitafunio kama vitumbua,maandazi nk
Pia awe anajua kuongea lugha ya kiingereza,kwa kuwa atakuwa anasaidia mapokezi (RENA HOSTEL) patakapohitajika.
Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne
Awe mwaminifu
Awe anaishi karibu na Morovian/Mianzini hapa Arusha.
Awe mtu anayeweza kujisimamia kazi zake mwenyewe
Akiwa amepitia Hotel Management course itakuwa vizuri zaidi.
Anahitaji mtu anayeweza kufanya kazi nyingi (multi tasks person)
Maombi yaletwe kwa mkono hapa RENA Hostel,jirani na Arusha Victory school,tupo eneo la Morovian/Mianzini.
Piga simu kwa maelezo zaidi: 0752 489529.