Honoralia ungeweka hapo ndugu mjumbeDada mwenye cheti cha addo na uzoefu anahitajika duka lipo Lindi, sehemu ya kukaa ipo piga/text no 0785845007
Ngoja nikutafutie Mimi nimesomea ila for now nipo shule nasomea uhasib ila chet cha addo ninacho.ANAHITAJKA DADA WA KUUZA DUKA LA DAWA
SIFA:AWE NA CHETI CHA ADDO
MAHALI:LINDI MNAZI MMOJA
INFO:CALL 0683945855
Ahsante kwa taarifa kuna Rafik yangu nikitaka nikuunganishie ila maelezo haya basiHuyu jamaa anawanyanyasa sana wafanyakazi, alileta tangazo humu mwaka uliopita mm nilikuwa na ndugu yangu nikamwambia aende, lakini alimnyanyasa sana, yeye ni muislamu, na mdogo huyo wa kike ni mkristo, yaani mdogo wangu alikuwa anafanyakazi masaa 12, Siku saba za wiki, hamna hata siku moja ya kumpuzika, mshahara 100,000! Mpaka mdogo wangu hakumaliza hata mwezi, na kuna mambo mengi sana pia ambayo alinieleza, maana huyo mdogo wangu kaenda huko Majirani wanamwambia huyo boss hakaagi na mfanyakazi!!
Jamani tulio na wafanyakazi tusiwanyanyase basi tuwachukulie kama wadogo zetu!!! Mpaka chakula mnamtenga mwenzio, ni jambo la aibu sana, haya mambo nayasikia uarabuni huko, lakini mpaka huku bongo huwezi aamini mambo haya yapo!!!
unazngua fala ww unashindwa kutofautisha thread hata ivo kashapatiHuyu jamaa anawanyanyasa sana wafanyakazi, alileta tangazo humu mwaka uliopita mm nilikuwa na ndugu yangu nikamwambia aende, lakini alimnyanyasa sana, yeye ni muislamu, na mdogo huyo wa kike ni mkristo, yaani mdogo wangu alikuwa anafanyakazi masaa 12, Siku saba za wiki, hamna hata siku moja ya kumpuzika, mshahara 100,000! Mpaka mdogo wangu hakumaliza hata mwezi, na kuna mambo mengi sana pia ambayo alinieleza, maana huyo mdogo wangu kaenda huko Majirani wanamwambia huyo boss hakaagi na mfanyakazi!!
Jamani tulio na wafanyakazi tusiwanyanyase basi tuwachukulie kama wadogo zetu!!! Mpaka chakula mnamtenga mwenzio, ni jambo la aibu sana, haya mambo nayasikia uarabuni huko, lakini mpaka huku bongo huwezi aamini mambo haya yapo!!!
Ngoja tukurepot CMA ng'ombe wewehii haikuhusu matatzo unayo ww shwain
Mbaguzi mkubwa weweunazngua fala ww unashindwa kutofautisha thread hata ivo kashapati
kna na ujinga wko
Hajielewi huyo jamaa, Hajui kuwa mm nina detail zake zote!Mbaguzi mkubwa wewe
Mnyanyasaji wa watoto wa watu
Jamaa amekuumbua na tabia yako ya kishetani umeiga huko uarabuni
Pumbavu kabsaa
Nasema huwezi kuishi na mtu wewe mbaguzi
Huna adabu
Weka zote hapa mkuuHajielewi huyo jamaa, Hajui kuwa mm nina detail zake zote!
Sasa una shindwa Nini kuweka taarifa zake zote za kipumbavu. Nyie ndio mnalea upuuzi halafu mnaanza kulialia.Hajielewi huyo jamaa, Hajui kuwa mm nina detail zake zote!
Akiendelea kubisha nitaweka details zake zote hapa!!!Sasa una shindwa Nini kuweka taarifa zake zote za kipumbavu. Nyie ndio mnalea upuuzi halafu mnaanza kulialia.
Weka kila kitu hapa. Serikali ione maana namba zake za simu ziko humu na Kuna watu wengi wa serikali wanapita humu.