Muungano gani mkubwa? kama ni huu wa Tanganyika na Zenji best hii thread ishakuja mara kibao hapa jamvini be it direct or indirect. Jitahidi kutembelea mara kwa mara mkubwa mambo mengi yanakupita na matokeo yake ndo unatoka na USED threads. Nauheshimu na kuukubali mchango wako na nia yako nzuri!