Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
Uko sahihi bro. Hata hivyo Ukiwa na nchi moja ndiyo ndiyo utakuwa na serikali moja. Tatizo ni kuwa mpaka sasa nchi hizo bado ziko mbili!Siyo nchi moja ni selikari moja..
Ndugu Watanzania wenzangu. Jambo lisipingika kuwa hoja ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar imo mawazoni mwetu karibu kila siku. Mara Watanganyika wanalalamika na mara nyingi sana Wazanzibari wanalalamika zaidi. Wote hawa wanalalamika kwa kuwa kuna nchi mbili na kila moja anaona mwenzake anapata zaidi.
SULUHU YA MATATIZO YA MUUNGANO ni kuwa na NCHI MOJA TU badala ya nchi mbili kama ilivyo sasa. Kwa kuwa na nchi mbili tumesababisha yafuatayo:
1. Malalamiko yasiyoisha
2. Mgogoro wa CCM na CUF uliodumu kwa miaka zaidi ya 10 hivyo kuzorotesha maendeleo,
3. Kuwepo kwa Serikali mbili ya Muungano (ambayo ndani yake pia ziko mbili(Muungano na Tanganyika)) na ya Zanzibar
4. Uwepo wa viongozi wengi. Tunalazimika kuwa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu bila sababu hivyo kuongeza gharama kubwa kwenye serikali.
5. Nchi moja kulazimika kuendesha mabunge mawili yaani lile la Muungano na lile Baraza la Wawakilishi.
6. Halama za kamati mbalimbali za pamoja za serikali na za vyama mbalimbali.
Kwa ujumla gharama ni kubwa sana zitokanazo na huu mfumo kuliko faida yake. Wakati tunaangali mchakato wa katibu mpya naomba pia tupate nafasi ya kuuangalia hili suala.
Nilishawai kusema hapa, miungano uliyodumu duniani na kufanikiwa ni Ile ya serikali moja tu. Tusijidangaya na maswala ya serikali mbili, tatu, nk. Zaidi ya serikali moja ni kuendeleza umimi ambayo matokeo yake ni manung'uniko yasiyokwisha. Pia gharama za uendeshaji wa nchi zitakuwa kubwa.
Hata tukiweka serikali tatu haya mambo ya manung'uniko ndiyo yatazidi kuongezeka maana kila serikali itataka ijione yenyewe ndiyo zaidi ya mwingine kwa wale inaowatumikia. Marekani ni Muungano wa nchi zaidi ya 40, wana serikali moja ya kitaifa. Umoja na maendeleo yao ni matokeo ya serikali moja. Iweje sisi tuwe na maserikali utitiri?
Kwa kweli watananzia tunasahau sana baba wa taifa mwalimu Nyerere alisema nini. Muungano wa serikali mbili kuelekea moja jamani haya mengine yote ni tamaa tu na udini.
Ndugu Watanzania wenzangu. Jambo lisipingika kuwa hoja ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar imo mawazoni mwetu karibu kila siku. Mara Watanganyika wanalalamika na mara nyingi sana Wazanzibari wanalalamika zaidi. Wote hawa wanalalamika kwa kuwa kuna nchi mbili na kila moja anaona mwenzake anapata zaidi.
SULUHU YA MATATIZO YA MUUNGANO ni kuwa na NCHI MOJA TU badala ya nchi mbili kama ilivyo sasa. Kwa kuwa na nchi mbili tumesababisha yafuatayo:
1. Malalamiko yasiyoisha
2. Mgogoro wa CCM na CUF uliodumu kwa miaka zaidi ya 10 hivyo kuzorotesha maendeleo,
3. Kuwepo kwa Serikali mbili ya Muungano (ambayo ndani yake pia ziko mbili(Muungano na Tanganyika)) na ya Zanzibar
4. Uwepo wa viongozi wengi. Tunalazimika kuwa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu bila sababu hivyo kuongeza gharama kubwa kwenye serikali.
5. Nchi moja kulazimika kuendesha mabunge mawili yaani lile la Muungano na lile Baraza la Wawakilishi.
6. Halama za kamati mbalimbali za pamoja za serikali na za vyama mbalimbali.
Kwa ujumla gharama ni kubwa sana zitokanazo na huu mfumo kuliko faida yake. Wakati tunaangali mchakato wa katibu mpya naomba pia tupate nafasi ya kuuangalia hili suala.
Ndugu Watanzania wenzangu. Jambo lisipingika kuwa hoja ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar imo mawazoni mwetu karibu kila siku. Mara Watanganyika wanalalamika na mara nyingi sana Wazanzibari wanalalamika zaidi. Wote hawa wanalalamika kwa kuwa kuna nchi mbili na kila moja anaona mwenzake anapata zaidi.
SULUHU YA MATATIZO YA MUUNGANO ni kuwa na NCHI MOJA TU badala ya nchi mbili kama ilivyo sasa. Kwa kuwa na nchi mbili tumesababisha yafuatayo:
1. Malalamiko yasiyoisha
2. Mgogoro wa CCM na CUF uliodumu kwa miaka zaidi ya 10 hivyo kuzorotesha maendeleo,
3. Kuwepo kwa Serikali mbili ya Muungano (ambayo ndani yake pia ziko mbili(Muungano na Tanganyika)) na ya Zanzibar
4. Uwepo wa viongozi wengi. Tunalazimika kuwa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu bila sababu hivyo kuongeza gharama kubwa kwenye serikali.
5. Nchi moja kulazimika kuendesha mabunge mawili yaani lile la Muungano na lile Baraza la Wawakilishi.
6. Halama za kamati mbalimbali za pamoja za serikali na za vyama mbalimbali.
Kwa ujumla gharama ni kubwa sana zitokanazo na huu mfumo kuliko faida yake. Wakati tunaangali mchakato wa katibu mpya naomba pia tupate nafasi ya kuuangalia hili suala.
ni mwanya wa kuvuja pesa za wananchi wetu, wewe fikiria gharama ya kusafirisha na kuilisha serikali nzima mara zote kwenye vikao Dodoma. asilimia ngapi ya viongozi na ma MP wanaishi Dar?Capital city dunia nzima huambatana na Ikulu. Sisi ni wa kwanza Duniani ambao mji mkuu na Ikulu viko sehemu tofauti
kua huru kimawazo usiogope, kwa iyo ndo unataka kusema nini hasa, bcs kila mtu anajua nchi ziligawanya kwa misingi gani, nahofia kesho utasema kenya na uganda ni eneo la pembezoni mwa tanganyika sasando iweje.Eneo la Unguja na Pemba kama ilivyo Mafia kijiografia ni sehemu ya ardhi ya iliyokua Tanganyika...
Pili, asilimia zaidi ya 50 ya wakazi wa Pemba na Unguja asili yao ni kutoka kwa mikoa ya iliyokua Tanganyika, tofauti ya tamaduni imetokana na tawala za kikoloni zilizokuwepo visiwani na bara.
Hivi ushawahi jiuliza kabla ya uvamizi wa Waarabu ni kina nani walikua wakiishi katika visiwa vya Pemba na Unguja?
nadhani ayo ni mawazo yao tu ambapo kila mtu ana haki ya kuwaza, umesahau mbowe alipokua na sera ya kuigawa tanzania na kua kama USA?Wanzanzibar wana mentality kuwa zanzibar ikjitenga inaweza kuwa kama Dubai,Qatar,Oman hivyo wao neno muungano kwao nikama unawawekea kijinga chamoto kwenye kidonda!
Wanzanzibar wana mentality kuwa zanzibar ikjitenga inaweza kuwa kama Dubai,Qatar,Oman hivyo wao neno muungano kwao nikama unawawekea kijinga chamoto kwenye kidonda!
ndio hicho...wanafikiri kua sheikh akija kutoka dubai akanunua kile kisiwa basi wataenda kujenga mahoteli, ma shoppin mallz kama vile dubai....hiyo ndio ndoto yao...wameshatawaliwa na waarabu once...wanataka itokee tena mara mbili??