Habari, natangaza nafasi moja ya ajira kwa muuguzi mwenye cheti cha ADDO kwaajili ya kuuza dawa katika duka langu mkoa wa Singida.
Jinsia ya kike atapewa kipaumbele zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.