Muuaji wa CUF ataiua na CHADEMA kabla ya 2020!

TANU ilikua 'inamtukuza' Baba wa taifa na hata baada ya kuitwa CCM iliendelea kumtukuza baba wa taifa na kipo mpaka leo.

ZANU-PF na Mugabe wao wapo mpaka leo.

ANC mpaka Mandela anakufa alikua anategemewa katika kutoa mawazo yake.

Dovutwa na chama chake wapo hadi leo.

CUF haiendi mrama kisa kuna mtu anatukuzwa, kinaenda mrama kwa sababu kuna mtu amerudi kwa lengo la kuua chama huku akipata sapoti kutoka kwenye vyombo vya serikali, jeshi na msajili wa vyama vya siasa.
 
chadema bado ipo?

hizi maada zingine mkimbie tu

cdm unaifananisha na dovutwa???

ebu ijibu hoja, mtego ni lowassa huyo, ccm damu
 
chadema bado ipo?
Ipo au haupo Tanzania?
hizi maada zingine mkimbie tu
Kwanini?
cdm unaifananisha na dovutwa???
Nimetoa mfano wa zaidi ya Dovutwa, ila umeuchagua huo. Kushindwa kuifanana CDM na Dovutwa ni kumaanisha hakuna wa kufanana na CDM kiupinzani.
ebu ijibu hoja, mtego ni lowassa huyo, ccm damu
Kwa CDm mtego Lowasa CCM damu, Kwa CUF Lipumba naye CCM damu?

Hivi kwa sasa Tanzania ni chama gani kinaonesha kinaweza kuja kua chama kikuu cha upinzani?
 
Kinachoitesa CUF ni tabia ya kumtukuza sana mtu ndani ya taasisi kuliko hata taasisi yenyewe kosa ambalo CHADEMA wamelivaa na sasa anatukuzwa sana Lowassa kuliko CHADEMA. Ndiyo njia rahisi sana kuua chama.
Mkuu Chadema imekuwa na uongozi mzuri na tumejengwa juu ya msimamo kuwa hamna mtu aliye juu ya taasisi.... na ndio maana hata alipoondoka watu wenye ushawishi sana kwa wananchi kama dk slaa na zitto bado chama kimeendelea kusimama na kma hakikufa kipindi hicho trust me hakitakaa kiuawe tena unless wenyewe tujichanganye ila sio mtu wa nje kuua chama.
Ugaidi,ukanda,udini,ukabila...vyote walisemwa chadema ila bado tulivuka icho kiunzi na trust me tumejipanga sana hta mbowe akiondoka leo au lissu hakuna atakayemfuata wala kugawa chama hivyo ccm mtasubiri sana kma mnafkiri mtaweza kuiua chadema
 
Chama cha vibendera
Eti eeh sasa kwanni mnahangaika nayo mara mzuie mikutano, mara kufungia magazeti, mara cjui sheria kandamizi za mtandao na habari, bunge mmezima.... mnaogopa nini hasa?? Kma chadema ni chama cha vibendera sasa mnatuwekea figisu figisu zote hizi ili iweje si mtupe uhuru wetu afu ndio tujue kipi ni chama cha vibendera
 
Hata hivi unavyo ropoka humu ni uhuru tosha.
Kuwa huru ndani mwako kisha udai uhuru nje!!
 
CHADEMA bwana!! Yaani tunaiombea kila mabaya lakini ina ngozi ngumu,tuliunda kachama tukasema baada ya uchaguzi 2015 katakuwa kachama kakuu ka upinzani michadema imegoma kupisha njia,kachadema kana roho ngumu sana,nadhani tuendelee kukaombea kafe maana uwezo wa kukaua hatuna,na dalili zinaonesha mwaka 2020 hakutakuwa na UKAWA, ila kutakuwa na upinzani mkuuubwa mmoja YAANI GUCHADEMA GUKUUUBWA,TUTAPATA TABU KWELI SISI CCM.
 
chadema bado ipo?

hizi maada zingine mkimbie tu

cdm unaifananisha na dovutwa???

ebu ijibu hoja, mtego ni lowassa huyo, ccm damu

viongozi wote walikuwa mwanzo ccm hakuna kuingoz kabla ya 1992 aliekuwa na chama chake wote walikuwa ccm damu.
 
Chama cha vibendera

ndo civics mliyofundishwa shuleni kwenu? huwez kushangaza watu mana mitaala yetu tunaijua ,,,,,, hata mwenyekiti wa ccm kajifunza kuchukia watu akiwa ccm alipozaliwa alikuwa kijana mwema tu tunamjua ni kama ww tu kadri inavyokuwa roho mbaya inaongezeka.
 
kitakachokufa ni ccm ambacho mwenyekiti anawaumbua wenyekiti wenzake wa mikoa mbele ya wananchi.
 
Kinachoitesa CUF ni tabia ya kumtukuza sana mtu ndani ya taasisi kuliko hata taasisi yenyewe kosa ambalo CHADEMA wamelivaa na sasa anatukuzwa sana Lowassa kuliko CHADEMA. Ndiyo njia rahisi sana kuua chama.

lipumba analindwa na kufadhiliwa na ccm. alafu upinzani ni itikadi ni imani hauwezi kufa hata kama vyama vitakufa au kubadili majina. mi nadhami ccm ndo italufa baada ya 2020. ingawa mi binafsi nisingependa itokee
 
TANU ilikua 'inamtukuza' Baba wa taifa na hata baada ya kuitwa CCM iliendelea kumtukuza baba wa taifa na kipo mpaka leo.

ZANU-PF na Mugabe wao wapo mpaka leo.

ANC mpaka Mandela anakufa alikua anategemewa katika kutoa mawazo yake.

Dovutwa na chama chake wapo hadi leo.

CUF haiendi mrama kisa kuna mtu anatukuzwa, kinaenda mrama kwa sababu kuna mtu amerudi kwa lengo la kuua chama huku akipata sapoti kutoka kwenye vyombo vya serikali, jeshi na msajili wa vyama vya siasa.
Endapo chama cha siasa kikubwa kama CUF kinaenda mrama kwa kupandikiziwa mamluki kutoka chanzo chochote kile nje ya chama huoni kuwa huo ni udhaifu mkubwa?
 
Ni kweli ni udhaifu, lakini hata Nchi zinaenda mrama kwa kua na mapandikizi sioni ajabu kwa chama cha siasa kwenda mrama.
 
TANU ilikua 'inamtukuza' Baba wa taifa na hata baada ya kuitwa CCM iliendelea kumtukuza baba wa taifa na kipo mpaka leo.

ZANU-PF na Mugabe wao wapo mpaka leo.

ANC mpaka Mandela anakufa alikua anategemewa katika kutoa mawazo yake.

Dovutwa na chama chake wapo hadi leo.

CUF haiendi mrama kisa kuna mtu anatukuzwa, kinaenda mrama kwa sababu kuna mtu amerudi kwa lengo la kuua chama huku akipata sapoti kutoka kwenye vyombo vya serikali, jeshi na msajili wa vyama vya siasa.
Na nyumba kubwa,pia aheria na katiba zinazopindisha ukweli
 
Hivi kunamtu anajua itikadi za hivi vyama?naomba msaada jamani maana zamani kulikuwa na ahadi za mwanatanu na hazikuwa siri.zilizungumzwa kila mahali, leo utasikia ikulu kwanza mengine tutajulia huko huko. Je vyama vina visheni na misheni kweli.chonde nisaidieni ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom