Muuaji hana sifa ya kuongoza nchi

Muuaji hana sifa ya kuongoza nchi

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,559
Reaction score
7,914
Unakubalioana na mimi Mtu mwenye sifa ya kuua watu wasio na hatia hana sifa za kuwa rais wa nchi yetu.

Wamama wajawazito na watoto waliuwawa na kusimikwa kesi za uongo za uhaini. Huku miili ikitekwa na polisi wapenda rushwa na wapumbavu.
 
Unakubalioana na mimi Mtu mwenye sifa ya kuuwa maelfu ya watu wasio na hatia hana sifa za kuwa rais wa nchi yetu ni mpumbavu.

Wamama wajawazito na watoto waliuwawa na kusimikwa kesi za uongo za uhaini. huku miili ikitekwa na polisi wapenda rushwa na wapumbavu.

Duh
 
Back
Top Bottom