Its Tesha
Senior Member
- Oct 6, 2025
- 168
- 604
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Geita kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Joseph Msukuma amesema kuwa Tanzania haifanyi kazi kwa kusikiliza mitandao Ila kwa kufuata uhalisia na utatuzi wa matatizo ya watu na kumtabiri Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa atashinda Urais kwa asilimia 98.