PreGE2025 Musukama: Kama huna hela ya kuchukua fomu njoo

PreGE2025 Musukama: Kama huna hela ya kuchukua fomu njoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
MBUNGE wa Jimbo la Geita vijijini, anayemaliza muda wake, Joseph Kasheku (Msukuma) ameahidi kuwa atawachangia gharama za fomu wapinzani wake watakaopungukiwa pesa za kuchukua fomu ya ubunge wa jimbo hilo.

Msukuma amesema hayo mbele ya waandishi wa habari mjini Geita mara baada ya kurejesha fomu ya kutia nia kugombe ubunge jimbo la Geita vijiji kupitia Chama Cha Mpainduzi (CCM).

Amesema uzoefu wake wa kisiasa unamfanya ajiamini na asiwe na hofu juu ya mtia nia ama mpinzani yeyote ambaye atajitokeza kuchukua fomu kwa kuwa ni haki ya kikatiba kila mmoja kugombea.

"Nimetangazia watu wote wanaotia nia jimboni kwangu, ukipungukiwa hela ya kuchukulia gfomu njoo, ukiwa huna hela nia yako inakutuma kwenda kugombea ubunge njoo, mimi natoa.
1751284274370.png

chanzo: Habari leo
 
Huyu jamaa ana matatizo ya akili kabisa, hivi haoni kama hiyo ni rushwa tayari?
 
Back
Top Bottom