MUST READ: Ukweli kuhusu mapenzi

Ahsante sana mkuu Nyenyere kwa somo zuri, niko hapa namuomba Mungu anisaidie nilibadili hili bandiko kivitendo, maana naishiaga kusoma na kuelewa vitendo vinakuwa sifuri..!! 🙁
Information haimbili mtu ila conversion. Mwenyezi Mungu akusdie uweze kufikia mabadiliko ya kweli
 
no matter how feeling she do have for you if you dont give her a good dick she will end up fuvcking other man and love with all her feeling shifted to him and you will be crying yourself and wonder where and how you went wrong. The todays generations are sex worshipers for me sex comes first then nice guy stuffs follows.
 
Hapo mtoa mada kanikosa


Asantee
Tujiepushe na zinaa kwa namna yoyote ile, maana kufanya hivyo ni kumkosea Baba yetu aliye mbinguni.!!
Tendo la Ndoa lifanyike tu tuwapo ndani ya ndoa na si vinginevyo.!!
 
Naungana na mtoa mada siku hizi wadada wengi wanajitahidi kuwaridhisha wapenzi wao ili wasiwaache mbaya zaidi wanafanya mapenzi kinyume na maumbile ili tu kwenda sambamba na ulimwengu
Kiufupi kufanya mapenzi kabla ya ndoa haswa kwa wanawake nikujiandaa kufa kwa stress OVA
 
And that is a devil's lie. Ingekuwa hivyo break up rates leo hii zingekiwa chini. Ni tamaa ndio zinaongoza mapenzi, watu leo hii wanatawaliwa na miili kuliko kuitawala miili yao.
 
Nimeuona Leo brother.
App yangu hainipi notification kwa wakati.
Dah ujumbe mzito..ngoja niusome Tena kwa Mara nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…