kuna connection ipi kati ya picha hapo juu na hiyo story? au na wewe unafanya kazi Global publishers! but the story is real touching na ina meseji kwa mabinti zetu!
Hawawezi kuwa makini, hawajaanza leo wala jana na wataendelea kuwa hivyo. Nadhani huwa wanavutiwa zaidi na maharamia kuliko watu trustful.Mungu awaepushe.
Hii story inatupeperushia ndege wetu. Nina katoto kanasoma 1st year apo Ustawi na nna mpango wa kukachinja usiku wa New Year, Sasa kakisoma hii story ya kutunga pataeleweka kweli??! Mkuu Bujibuji aya mambo sio bhana