chikoxalate
Member
- Apr 18, 2018
- 62
- 22
Habari za majukumu wanajamvi, nmefanya application mbeya university of science and technology (MUST) na nimelipia application fee ila ni Siku ya tatu hakuna apdate yoyote kuonesha nimelipia. Nikiwapigia simu wanasema mtandao unasumbua, kwa yeyote mwenye uelewa na hili anisaidie nimekwama.



