B Blessed Tajiri JF-Expert Member Joined Dec 16, 2023 Posts 221 Reaction score 659 Jun 28, 2025 #1 Mussa Zungu, alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ilala na Naibu Spika amechukua fomu kuomba nafasi kwa mara nyingine kwenye jimbo hilo la Ilala. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mussa Zungu, alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ilala na Naibu Spika amechukua fomu kuomba nafasi kwa mara nyingine kwenye jimbo hilo la Ilala. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 19,968 Reaction score 23,980 Jun 28, 2025 #2 Duuuuu kufiaa hapooo bungeni
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 35,791 Reaction score 47,062 Jun 28, 2025 #3 Blessed Tajiri said: Mussa Zungu, alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ilala na Naibu Spika amechukua fomu kuomba nafasi kwa mara nyingine kwenye jimbo hilo la Ilala Click to expand... Hamna wa kumpumzisha hapo kweli
Blessed Tajiri said: Mussa Zungu, alikuwa Mbunge wa Jimbo la Ilala na Naibu Spika amechukua fomu kuomba nafasi kwa mara nyingine kwenye jimbo hilo la Ilala Click to expand... Hamna wa kumpumzisha hapo kweli
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,197 Reaction score 28,079 Jun 28, 2025 #4 Lambardi said: Duuuuu kufiaa hapooo bungeni Click to expand... Chakula kitamu, hakuna anayetaka kuondoka mezani na chakula bado kipo.
Lambardi said: Duuuuu kufiaa hapooo bungeni Click to expand... Chakula kitamu, hakuna anayetaka kuondoka mezani na chakula bado kipo.
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 35,791 Reaction score 47,062 Jun 28, 2025 #5 lukesam said: Chakula kitamu, hakuna anayetaka kuondoka mezani na chakula bado kipo. Click to expand... Hata kama bhana...ni vyema uwe na kiasi. Apishe mawazo na fikra mpya ziingie kutumikia umma.
lukesam said: Chakula kitamu, hakuna anayetaka kuondoka mezani na chakula bado kipo. Click to expand... Hata kama bhana...ni vyema uwe na kiasi. Apishe mawazo na fikra mpya ziingie kutumikia umma.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 57,913 Reaction score 133,926 Jun 28, 2025 #6 Liundwe jukwaa la Uchaguzi, ili hapa tujadili mambo ya msingi