Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,328

Anapiga job na fina mango kampuni inahusika na adverts
jamaa nimemiss kweli, jamaa alikuwa mzuri sana kwenye kuendesha kipindi,Nackia anapga mzigo cloudz

Ma GT

Naomba kuuliza maana busara pia zinasema kuuliza si ujinga. Hivi yule mtangazaji aliekuwa anatangaza kipindi cha Uswazi EATV yuko wapi?

Kijana ametimuliwa sababu ambazo ni ngumu kuzithibitisha labda time tu ndio itasema kweli...uteja wa unga....na kusadikika tabia za ushoga!!!mbaya sana
na kusadikika tabia za ushoga!!!

Kijana ametimuliwa sababu ambazo ni ngumu kuzithibitisha labda time tu ndio itasema kweli...uteja wa unga....na kusadikika tabia za ushoga!!!mbaya sana
ushoga una-affect vp utendaji wa kazi?? .
ni invisible!
Hahahah...He kumbe Invisible ni mwanamama wa kitanga.
Hahahah...
Angalia jamaa asikupige ban!!
Kampuni hiyo iko wapi? Na maanisha makao yake. Na mwenye sababu za kukimbia kwake anaweza kuzimwaga hapa kama itawezekana.
He kumbe Invisible ni mwanamama wa kitanga.

Sisi hatujui labda wewe SHOGA utufamishe kama hau affect kitu.
kama mna bifu vile...