....kazi kwenu na filamu zenu za kibongo!!!
Wewe umetumwa na hao akina kayumba,tunakujua tuu
Thread ya miaka 10 iliyopita.Mtoa mada picha iko wapi?
[emoji3][emoji3][emoji3] bora umenishtua maana pengine mtoa mada wala hayupo tena humu.Thread ya miaka 10 iliyopita.
Tena wenda hata duniani, hayupo, (Mungu aepushie mbali.)[emoji3][emoji3][emoji3] bora umenishtua maana pengine mtoa mada wala hayupo tena humu.
Niliwahi kuiangalia enzi zile nilikuwa nikiifuma bongo movie, I used to watch. Nadhani wamecheza na kile kisichana smart, Jenniffer Kyaka. Ni kati ya bondo movie nilizozipenda sana.nakiri huyu jamaa ni mwandishi mzuri wa filamu lakini natamka rasmi kuigiza jamaa hawezi kabisa na aache kabisa kuigiza abaki tu na kazi ya uandishi wa filamu za kibongo.
hivi karibuni niliangalia part 1,2, & 3 ya filamu ambayo yeye mwenyewe ameiandika na kuicheza kama muigizaji mkuu, yaani mr banzi aliyekwenda mjini na kuwakana wazazi wake kabla ya kuokolewa na mchumba wake wa zamani.
ni kichekesho; jamaa hana mvuto wa kuigiza- broken english kama kawa, mwanzo mpaka mwisho(masaa 4) filamu imeigizwa kwenye jumba moja; jamaa kauza sura ile mbaya, mapozi ya kishamba, kanyoa panki ya 1990s, kwa kifupi sura kauza na mademu wengi watampigia...lakini kazi hiyo ni ovyooo...
my take;
huyu jamaa aachane kabisa na kuigiza kwani hana mvuto kabisa na ataharibu hadhi ya tasnia ya filamu za bongo ambayo tayari imepandishwa chati na waigizaji wenye mvuto na wanaokubalika kama
kanumba
ray
mainda
johari
norah
richy
jb
ndauka
wolper
tues
na wengineo kibao wenye mvuto.
unazungumzia ile movie waliact kijijin, kijiji cha msisi wa msisiri eh?? Ilikuaga nzur kias chakeNiliwahi kuiangalia enzi zile nilikuwa nikiifuma bongo movie, I used to watch. Nadhani wamecheza na kile kisichana smart, Jenniffer Kyaka. Ni kati ya bondo movie nilizozipenda sana.
unazungumzia ile movie waliact kijijin, kijiji cha msisi wa msisiri eh?? Ilikuaga nzur kias chake
Ah hyo sijaiona. Jenifer kyaka yupo ameact km rachel ktk series ya kapuni ilikuwa inaonyeshwa maisha bongo magic ktk dstv. Ni muigizaj mzur sn snHapana siyo hiyo. Waliyo-act wakiwa kijijini ni mapacha, yaani Odama amecheza akiwa na replica yake. Hii ya Banzi ni nyingine, it's a very good movie. Huyu binti huwa anacheza movie nzuri sana ila siku amepotea sijui labda kakimbilia hollywood. Naona kama hayupo hapa Bongo. She is among the best actresses!
Muda ndugu yangu hata sijafanikiwa kuiona hiyoAh hyo sijaiona. Jenifer kyaka yupo ameact km rachel ktk series ya kapuni ilikuwa inaonyeshwa maisha bongo magic ktk dstv. Ni muigizaj mzur sn sn