Mussa Balla Conte is Green & Yellow

Mussa Balla Conte is Green & Yellow

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Wakuu

====

Habari ya Khalid Aucho imeishia hapa?

Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo wa CS Sfaxien, Mussa Balla Conte (21) kwa mkataba wa miaka mitatu hadi Juni 2028.

Conte, ambaye pia alikuwa kwenye rada za Simba SC, ametua akitokea Tunisia na kupokelewa na viongozi wa Yanga SC kwa ajili ya mazungumzo ya mwisho kabla ya kusaini mkataba rasmi.

Nyota huyo anatajwa kuwa mmoja wa viungo wenye kipaji kikubwa na uwezo wa kucheza kama kiungo wa kati au mkabaji, na Yanga SC wanaamini atakuwa nyongeza muhimu katika kikosi chao kuelekea msimu wa 2025/26.
1752845520217.png
 
Hivi ndo hao walifungwa na Simba? I mean na timu zote kwny group?
Nauliza tuu
Ngoja niwe na kiasi cha maneno...
Tuache muda uongee
 
Hivi ndo hao walifungwa na Simba? I mean na timu zote kwny group?
Nauliza tuu
Ngoja niwe na kiasi cha maneno...
Tuache muda uongee
Balla conte ni midfield defender ni mcheza mzuri sana. Alikuwa anaitaji na vilabu vya ulaya sema walitoa offer ndogo sana.
Hata zamalek pia.

Ishu ya kufungwa hio ni nishu nyingine.
Unapotafuta mchezaji mzuri unaangali mchezaji yeye kama yeye jinsi anavyocheza na uwezo wake akiwa uwachanjani,

Ishu ya timu kupata matokeo uwanjani inatemeana na timu mzima kwa ujumla .

Ungemchukua pacome afu umpeleke ken gold , bado wangeshuka tuu daraja
 
Mchezaji mwenyewe sasa utafikiri ni christian ronaldo...kumbe wa kawaida kabisa...soon yanga nao wataanza kupotea kwenye ramani
 
Back
Top Bottom