Musoma Utalii College

Musoma Utalii College

brazah

Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
45
Reaction score
37
Naombeni msaada kwa anayekifahamu Chuo cha Musoma utalii College Tabora,je ni Chuo kizuri kwelii maana nataka niombe nafasi ya kusomea Diploma ya pharmaceutical science...plz
 
Ni kizuri ila ukienda usisahau tu kubeba vifuatavyo:
  1. Bandage
  2. Dawa yoyote ile ya Kuchua
  3. Diclopa za kutuliza maumivu na usumbufu wa kilazima utakaokutana nao
  4. Shin Guard za Meno kwani huko Kurushiana Ngumi ni kama Muislamu kwenda Kuswali Ijumaa na Mkristo kwenda Kusali Jumapili
  5. Kusevu katika Simu yako namba zote za Wakuu wa Polisi wa Mkoa au eneo husika utakalokuwepo
  6. Panga au Kisu na ikiwezekana hata Mundu kwani huo Ukanda hauna tofauti sana na Syria au Bangladesh
  7. Kibiriti cha Kuwashia Sigara Bwege / Cannabis Sativa / Puje / Mtemba
Nikutakie tu masomo mema hapo Musoma Utalii College Mkuu.
 
Hahahaha unazingua mwanangu hicho kipo Tabora sio musoma[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hata kama kikiwa Mkoani Tabora so long as tayari kuna neno Musoma yakupasa uchukue tu hizo tahadhari zote Mkuu.
 
Back
Top Bottom