Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,678 Reaction score 4,550 Dec 6, 2025 #1 Nimepata taarifa ya kutokea kwa vurugu na rabsha za hapa na pale huko ukweni, ningependa kupata abc hapa JF maana nimejaribu kuperuzi huku na kule sijapata dondoo zozote kuhusu hili wakuu,, Nawasilisha,,
Nimepata taarifa ya kutokea kwa vurugu na rabsha za hapa na pale huko ukweni, ningependa kupata abc hapa JF maana nimejaribu kuperuzi huku na kule sijapata dondoo zozote kuhusu hili wakuu,, Nawasilisha,,
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 15,187 Reaction score 28,237 Dec 6, 2025 #2 Nasubiri hii habari kwa hamu na gamu.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,715 Dec 6, 2025 #3 Yalitokea mambo ya kawaida tu katika kugombea ubwabwa wa mashekhe vijana wakachafua hali ya hewa.
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,678 Reaction score 4,550 Dec 6, 2025 Thread starter #4 secretarybird said: Nasubiri hii habari kwa hamu na gamu. Click to expand... Naona wakubwa hawataki iende viral, pengine kuna jambo,,
secretarybird said: Nasubiri hii habari kwa hamu na gamu. Click to expand... Naona wakubwa hawataki iende viral, pengine kuna jambo,,
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,211 Reaction score 79,685 Dec 6, 2025 #5 Kwamba teyari kushawaka huko kweli na sie huku daslamu tuanze harakati zetu
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,678 Reaction score 4,550 Dec 6, 2025 Thread starter #6 Mjusi Sharobalo said: Yalitokea mambo ya kawaida tu katika kugombea ubwabwa wa mashekhe vijana wakachafua hali ya hewa. Click to expand... Ilikuaje kwani,
Mjusi Sharobalo said: Yalitokea mambo ya kawaida tu katika kugombea ubwabwa wa mashekhe vijana wakachafua hali ya hewa. Click to expand... Ilikuaje kwani,
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,450 Reaction score 203,039 Dec 6, 2025 #7 Musoma sehemu gani tuwapigie simu ndugu zake Nyerere
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 15,187 Reaction score 28,237 Dec 6, 2025 #8 Trimmer said: Naona wakubwa hawataki iende viral, pengine kuna jambo,, Click to expand... Wanaogopa mambo yanaweza kutapakaa nchi nzima.
Trimmer said: Naona wakubwa hawataki iende viral, pengine kuna jambo,, Click to expand... Wanaogopa mambo yanaweza kutapakaa nchi nzima.
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,678 Reaction score 4,550 Dec 6, 2025 Thread starter #9 Vincenzo Jr said: Kwamba teyari kushawaka huko kweli na sie huku daslamu tuanze harakati zetu Click to expand...
Vincenzo Jr said: Kwamba teyari kushawaka huko kweli na sie huku daslamu tuanze harakati zetu Click to expand...
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,678 Reaction score 4,550 Dec 6, 2025 Thread starter #10 Depal said: Musoma sehemu gani tuwapigie simu ndugu zake Nyerere Click to expand... Musoma mjini mpaka Nyamongo huko,, hakuna amani
Depal said: Musoma sehemu gani tuwapigie simu ndugu zake Nyerere Click to expand... Musoma mjini mpaka Nyamongo huko,, hakuna amani
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 15,717 Reaction score 50,049 Dec 6, 2025 #11 Depal said: Musoma sehemu gani tuwapigie simu ndugu zake Nyerere Click to expand... Download games na movie mapema
Depal said: Musoma sehemu gani tuwapigie simu ndugu zake Nyerere Click to expand... Download games na movie mapema
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,715 Dec 6, 2025 #12 Trimmer said: Ilikuaje kwani, Click to expand... Kwani kipi hujaelewa hapo si umeambiwa walikuwa wanagombaniana ubwabwa wa mashekhe ubwabwa tu hakuna cha ziada.
Trimmer said: Ilikuaje kwani, Click to expand... Kwani kipi hujaelewa hapo si umeambiwa walikuwa wanagombaniana ubwabwa wa mashekhe ubwabwa tu hakuna cha ziada.
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,678 Reaction score 4,550 Dec 6, 2025 Thread starter #13 Mjusi Sharobalo said: Kwani kipi hujaelewa hapo si umeambiwa walikuwa wanagombaniana ubwabwa wa mashekhe ubwabwa tu hakuna cha ziada. Click to expand... Ubwabwa tu mzee mpaka watu kusambazwa na tear gas na kadhaa kuhofiwa kufa,,?
Mjusi Sharobalo said: Kwani kipi hujaelewa hapo si umeambiwa walikuwa wanagombaniana ubwabwa wa mashekhe ubwabwa tu hakuna cha ziada. Click to expand... Ubwabwa tu mzee mpaka watu kusambazwa na tear gas na kadhaa kuhofiwa kufa,,?
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,450 Reaction score 203,039 Dec 6, 2025 #14 Mpaji Mungu said: Download games na movie mapema Click to expand... Candy crush, temple run & subway surfer.. yako tayari. Niongeze yapi?
Mpaji Mungu said: Download games na movie mapema Click to expand... Candy crush, temple run & subway surfer.. yako tayari. Niongeze yapi?
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 15,187 Reaction score 28,237 Dec 6, 2025 #15 Trimmer said: Ubwabwa tu mzee mpaka watu kusambazwa na tear gas na kadhaa kuhofiwa kufa,,? Click to expand... Dah, kama hii taarifa ni ya kweli basi watanganyika wachukue tahadhari.
Trimmer said: Ubwabwa tu mzee mpaka watu kusambazwa na tear gas na kadhaa kuhofiwa kufa,,? Click to expand... Dah, kama hii taarifa ni ya kweli basi watanganyika wachukue tahadhari.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,715 Dec 6, 2025 #16 Trimmer said: Ubwabwa tu mzee mpaka watu kusambazwa na tear gas na kadhaa kuhofiwa kufa,,? Click to expand... Hujawahi kusikia kesi ya wizi wa kuku ni kubwa kuliko ng'ombe? Ni ubwabwa tu ikabidi polisi waingilie kati.
Trimmer said: Ubwabwa tu mzee mpaka watu kusambazwa na tear gas na kadhaa kuhofiwa kufa,,? Click to expand... Hujawahi kusikia kesi ya wizi wa kuku ni kubwa kuliko ng'ombe? Ni ubwabwa tu ikabidi polisi waingilie kati.
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 15,717 Reaction score 50,049 Dec 6, 2025 #17 Depal said: Candy crush, temple run & subway suffer.. yako tayari. Niongeze yapi? Click to expand... Umenipa kazi ya ku'gugo' hizi ni nini? Kikubwa ni kuondoa upweke!
Depal said: Candy crush, temple run & subway suffer.. yako tayari. Niongeze yapi? Click to expand... Umenipa kazi ya ku'gugo' hizi ni nini? Kikubwa ni kuondoa upweke!
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,450 Reaction score 203,039 Dec 6, 2025 #18 Mpaji Mungu said: Umenipa kazi ya ku'gugo' hizi ni nini? Kikubwa ni kuondoa upweke! Click to expand... Ni games 😁
Mpaji Mungu said: Umenipa kazi ya ku'gugo' hizi ni nini? Kikubwa ni kuondoa upweke! Click to expand... Ni games 😁
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 4,689 Reaction score 9,999 Dec 6, 2025 #19 Hahaha ulinzi umewekwa kwenye majiji vurugu zinafanyika sehemu wasizo tarajia 🤣
zaishose JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 388 Reaction score 819 Dec 6, 2025 #20 Waulize ukweni huku hatujui tunasubiri taarifa