figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Mwanamama awanyonga hadi kufa watoto wake kwa kukosa huduma ya Chakula cha watoto.
Awanyonga na kutokomea pasipo julikana huko Musoma.
Picha zinatisha, hata hivyo hairuhusiwi kuweka picha za watoto waliopoteza maisha kwenye mitandao ya kijamii.

Last edited by a moderator: