Nilijua utazungumza Israeli , propaganda bla bla, unataka kuniambia hao ndugu zako hawawezi kufanya hivoHizo ni propaganda za Waisrael kwenye mitandao, hakuna kitu kama hicho kilichotokea uswissi.
Am not surprised if will also ask that to be changed mkuu, wonders shall never endAre they going to ask that the mathematical symbol for plus be changed too?
Unaishi Uswissi? Kama hujui kitu nyamaza. Hivi shuleni huwa mnakwenda kusomea ujinga? By FaizaFoxy
Nilijua utazungumza Israeli , propaganda bla bla, unataka kuniambia hao ndugu zako hawawezi kufanya hivo
Are they going to ask that the mathematical symbol for plus be changed too?
Whatever imaginary trap you claim I have fallen into, yours, that of believing Allah exists, is deeper.The problem is, you have fallen into a trap of neither Muslims nor Christians, re read the sources you will know how stupid you are.
Watu wanaishi kama hamna Mungu,...bt bible said Mungu zama zile alijifanya kama haoni,...Wanadamu wanajisahau inabini wamrudie MunguMkuu
Ukisoma historia ya dunia na maisha ya mwanadamu katika philosophy ya hinduism, hivi vipindi vimegawanyika katika vipindi vinne ambavyo ni:-
1) Satya Yuga, a time of truth and rightiousness
2) Treta Yuga
3) Dwapara Yuga
4) Kali Yuga, a time of darkness
Ina sadikiwa hiki kipindi tunachoishi ni kipindi cha Kali Yuga. (time of darkness)
Ni kipindi ambacho ustaarabu wa binadamu kiroho umeshika sana. Hii ni kwa sababu katika kipindi hiki watu wako mbali sana na Mungu.
Kwa hiyo usishangae kuona hayo yanayotokea hawa jamaa zetu kila walipo wao ni kufanya matukio ya kiovu tu.
Kumbuka ni kwa sababu ya wakati tunaoishi. (hata Biblia nayo imeongelea swala hili).
The world is in dilemma, no trust to each other as well as an internal mistrust of self.