music!? or no music!?

kidole007

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
3,094
Reaction score
1,878
late nighters
kesho monday work hard play hard

nimegundua kufanya sex na music on au off kuna tofauti tena kubwa

wapo wanaopreffer music off ili wasikie miguno ya wapenzi wao
music off inaweza kuathiriwa na akward silence pale unapojikuta upo kimya na mpeziwe yupo kimya

wengine tuna preffer music on
mziki on ndio ila mziki wa aina gani?
Wengine naskia wanaweka hiphop au miziki mingene yenye high tempo
wasicho jua high tempo music inapelekea moyo kwenda mbio na ivo inaweza kupelekea premature ejaculation

najua wengi mtasema slow music au mizik yenye low tempo kama soul na bluez
too low tempo music zinaleta usingizi am i wrong?

Upi sasa ni mziki mwaafaka wakat wa tendo?

katika kujaribu nyimbo nyingi sambamba na tendo nimegundua
sexual healing ya marving gaye ndio best song ever ya kusikilaza uku ukigegeda


mizik yote ya aina hyo ndo best to listen while having sex
nite nite
 
music on during majamboz ni mzuka zaidi,tatizo ni tofauti ya flavor, mfano mimi ni mtu wa oldskul ,from hiphop to RnB ....so ukiniwekea TUPOGO wakati wa Majamboz inakuwa unakata STIMU
 
Sio wote wanaopenda music wakati wa tendo, pia kwa wanaopenda music kila mmoja huweka muziki aupendao yeye kama yeye ilimradi tu kaupenda.
 
Mmmh!
Mimi hutegea matangazo ya vifo pale!!!
 
......... ila mziki wa aina gani?

Hili swali sidhani kama linajibu la moja kwa moja,maana kila mtu ana preference yake mwenyewe! Swala la muziki wa aina gani labda lijibiwe kwa kusema kuwa muziki ambao couples wenyewe wameupendelea kuutumia kwa wakati huo ndiyo utumike kuwakonga nyoyo hao ma-couple wakati wa hiyo shughuli ....
 
Kiduku! teheee
Mi naimbaga mwenyewe.....!
la la lala la la laaaaa la laaa
Do Reh Mi Fa i love you La Ti Doooooooo!
 
....whenever today I hear any music which we use to listen with my X during socialization, they make me recall the good time and how we use to do it slowly/quickly and sometimes harshly coz of wine.....so nicely I can feel the feelings of the reader
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…