Musiba: Vodacom ilikuwa mali ya CCM mafisadi wakaipora, Nape kauza mitambo ya tv ya CCM, Mbowe anapoteza wanaohoji ruzuku

Ni ukweli usiopingika, Big up Cyprian Musiba
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema anayo orodha ya mafisadi wote waliotajwa katika ripoti ya kamati ya Dr Bashiru hivyo makada wakiendelea kumzingua atawataja wote hadharani.

Ameuliza, hamjui kuwa Vodacom ilikuwa mali ya CCM?!!...... Mnajua kwamba CCM ilikuwa na Tv yake lakini Nape, Kimbisa na Kinana wakauza mitambo?
Mmesahau kuwa Makamba alikuwa anauza kadi za CCM badala ya kugawa bure?!

Kwa upande wa Chadema amesema Mbowe anatumbua ruzuku na wale wenye ujasiri wa kuhoji anawapoteza na kuisingizia serikali.

Ni hayo kwa uchache

Maendeleo hayana chama!
 
Musiba amesema kuwa mlikuwa mali ya CCM, lakini kutokana na ufisadi sasa hivi sio mali ya CCM, jambo la kushangaza mmekaa kimya mpaka leo, ukimya wenu unaonyesha sio kweli au ni kweli, tunaomba mtuambie kama sio kweli au ni kweli tujue

Kama nyie bado ni mali ya CCM, sisi wa vyama vingine au tusiokuwa na chama chochote tufanye maamuzi sahihi ya kuendelea kutumia mtandao huu au tuuhame

Asanteni Vodacom Tanzania
 
Kama hawajakanusha hadi leo ni lazima ukubaliane na Musiba hata kama humpendi!
 
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema anayo orodha ya mafisadi wote waliotajwa katika ripoti ya kamati ya Dr Bashiru hivyo makada wakiendelea kumzingua atawataja wote hadharani.
Ameuliza, hamjui kuwa Vodacom ilikuwa mali ya CCM?!!...... Mnajua kwamba CCM ilikuwa na Tv yake lakini Nape, Kimbisa na Kinana wakauza mitambo?
Mmesahau kuwa Makamba alikuwa anauza kadi za CCM badala ya kugawa bure?!
Kwa upande wa Chadema amesema Mbowe anatumbua ruzuku na wale wenye ujasiri wa kuhoji anawapoteza na kuisingizia serikali.
Ni hayo kwa uchache
Maendeleo hayana chama!
 
MUSIBA, MUSIBA, MUSIBA, ana kinga gani kulipua lipua, anatumwa ? hao mafisadi hawatamuwahi kabla ya kuwataja? Je, Musiba anajilipa? anapata faida? Itajulikana anakopata nguvu
 
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema anayo orodha ya mafisadi wote waliotajwa katika ripoti ya kamati ya Dr Bashiru hivyo makada wakiendelea kumzingua atawataja wote hadharani.

Ameuliza, hamjui kuwa Vodacom ilikuwa mali ya CCM?!!...... Mnajua kwamba CCM ilikuwa na Tv yake lakini Nape, Kimbisa na Kinana wakauza mitambo?
Mmesahau kuwa Makamba alikuwa anauza kadi za CCM badala ya kugawa bure?!

Kwa upande wa Chadema amesema Mbowe anatumbua ruzuku na wale wenye ujasiri wa kuhoji anawapoteza na kuisingizia serikali.

Ni hayo kwa uchache

Maendeleo hayana chama!
Hivi mahakama ya mafisadi bado ipo?
 
Musiba anaendeleaje?

Back
Top Bottom