Museveni visit to Chato

Uganda iko karibu sana na Kenya kuliko Tanzania. Museveni ameenda kunywa chai tu.
 
Hehee!!naona unabwata tu, mhimu comment yangu umeisoma ukaielewa

Aliyoyafanya mseveni ingelikua ni kenya, sai hapa hapangelalika..
Kwanza wewe ungelikua wa mbele mbele kunengua..sijui kenya hivi, kenya vile..

Ukweli ni kwamba, huaga mnatuwaza nchi nzima
 
Geza mbna umekwepa, ama ni mwendo wa kupita kimya kimya kisa sindano ilikua kali sana.
 
Geza mbna umekwepa, ama ni mwendo wa kupita kimya kimya kisa sindano ilikua kali sana
Ni ujinga kujibu vitu ambavyo maelezo yapo online jinsi ya kodi zitakavyokuwa kuna revenue sharing ya faida na service charges pia unapaswa kutochanganya nachojua mimi kila siku tanzania itapata not less than $2.5 mln per day as charges for barrels to be transported when the pipleine is operating at full capacity!

Hapo hatujaongelea storage charges at Tanga port n gas to be sold to Uganda to heat their waxy crude oil! BTW Museveni said aside gas for heating he will need our gas for his irone ore industries meaning for local manufacturing!

Sit down and watch my friend hatukurupuki!
 
Pengine mm nitakuwa sio mmoja kati ya mil 50 wa tz, ambao ww unahisi wanaiwazia kenya... Mi nawazia vitu vikubwa kubwa ....subiria baada ya okotoba tuna angusha MOA ujenzi wa SGR from mwanza to isaka ..kipande kifupi tu lkn very strategic narudia tena very strategic.
 
Hivi hii pipeline itakuwa mara ya ngapi kuzindua?tangu 2017
 
Ww nakaram uchwara hakata kusaidia cbochote....huku ni mwendo wa kupiga spana....eti Tz tuigwatilie kenya
 
Hivi sielewi kwani agenda ya ccm ni kusaidia wananchi kutoka katika umaskini ama ni kufuatilia Kenya tu.Mimi naona wamepoteza muelekeo vile ninavyoona miccm hapa this is a lost party with no manifestation for it's people.Wao wamepumbazwa kua shida zao ni zinatokana na Kenya na mabeberu mishenzi sana hawa.With that mentality mtaendelea kua backwards
 
Nani afuatilie nchi ya ovyo kama kenya? Sisi tunawaza tuwe na maendeleo kama ulaya.uwezo tunao,rasilimali tunayo na Kijiografia tupo sehemu nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…