Halafu mkuu wa waangalizi wa EAC ni Mzanzibari.Halafu yeye ndiye msuluhishi wa mgogoro wa Burundi!. Naona kuna hatari ya nchi nyingi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kukatokea mapinduzi hasa nchi ambazo zimewahi kutokea mapinduzi.Na ndio maana wamekuwa wa kwanza kupinga mahakama ya ICC
Nani atamfunga paka kengere.Na nilishangaa mtu mmoja kutoka kwenye hiyo Tume ya waangalizi kutoka EAC tene ni mzanzibar alipohojiwa na DW suala la serikali ya Museveni Kufunga mitandao yote ya kijamii yeye alisema hawezi sema chochote kwa kuwa hana taarifa hiyo kitu ambacho ni uongo mtupu. huo ni unafiki wa kujificha uwanjani.Halafu mkuu wa waangalizi wa EAC ni Mzanzibari.