Museveni cautions Security Agencies against use of torture to extract confessions from suspects

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,583
6,633
4531c54edbefd6db69c3fdc1d0b96d0b.jpg

Ugandan President Yoweri Museveni ordered his security chiefs on Tuesday to stop torture by their personnel seeking confessions after media images of a detained politician with septic wounds on his body stirred public outrage.

Human rights activists said those images and other recent incidents where suspects have appeared in court with torture marks on their bodies point to escalating brutality and impunity on the part of Ugandan security personnel.

Pictures began circulating online and in local media last week of Geoffrey Byamukama, mayor of a small town in western Uganda, who was arrested last month on suspicion he participated in the murder of a senior police official in March.

9b5fafe64354102650da71e26a5312b2.jpg

In a letter emailed to news media, Museveni told heads of the military, police and intelligence services that torture was "not consonant with logic ... The use of torture is unnecessary and wrong and must not be used again".

Opposition supporters and activists have long said they have been subjected to excessive force by Ugandan security services as a show of loyalty to Museveni, who has been in power since 1986 and is one of Africa's longest serving rulers.

Security personnel often disperse opposition meetings and demonstrations with arrests, tear gas and beatings.

Critics say Museveni increasingly relies on brute force by security personnel to blunt growing opposition to his rule. Ugandan officials have denied such accusations.

Maria Burnett, associate director at Human Rights Watch's Africa division, told Reuters that torture was pervasive in Uganda and "overlooked and ignored on a daily basis".

She said Museveni's directive was notable for lacking any call for investigations and accountability into past incidents of torture.

"Without accountability, the government's statements smack of public relations and not a fundamental commitment to root out this abusive practice."

Ugandan law criminalizes torture and police have pledged in the past to investigate and prosecute officers accused of engaging in it. But such prosecutions have been extremely rare.

In his letter, Museveni warned that torture posed "possible mistakes that may even interfere with the fight against crime".

9b78298c261fd4ad974e57a5ac06a5a8.jpg

9743fdd04880de7f695787cf54d6be62.jpg

He said there was the risk of torture being used on entirely innocent people and of some detainees being forced into false confessions to escape their ordeal.

Museveni won re-election to his latest term last year but the vote lacked credibility and transparency, international monitors said. His main rival, Kizza Besigye, maintains he won the election but that Museveni stole his victory.

-Reuters-
 
Wahalifu bila Vichapo hawawezi Kusema Ukweli
Piga piga Viboko vya Pua waseme vizuri.
IMG_20170212_134024.jpg
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Da!! Mateso hayo Sio yamchezo mchezo
hali hii unaweza kukubari kila Swali utakalo ulizwa !!
 
The same punishment like that of the guy on the photo should be applied as well to foolish politicians in Tanzania especially; those who motivates the public to demostrate in streets and towns.

(Just kidding)

I w'll be back ... ... ...
 
I can certainly say that now President Museven is nnow awakening ,though its too late.
 
Nchi zetu za kiafrika hazina utaalamu wa upelelezi wa matukio kwa njia za kisasa,kwa maana ya vifaa na personnel. Ndio maana wameendelea kuwaiga wakoloni katika kukamata,kuhoji na kutesa watuhumiwa.Wanasahau kuwa mkoloni alifanya hivyo kwetu sio kwao. Scotland yard ya uingereza walipata kushughulikia kesi moja ya kutekwa waziri wa mafuta wa Nigeria Umar Dikko jijini London kitaalamu sana bila kutesa MTU yoyote Inashangaza vyombo vyetu vinatesa RAIA wao kama vile ni foreigners.
 
Tulipokua Wadogo Primary Tulikua Tunaimba "Iddi Amin Jasusi Tena Lile Joka Kubwa Lilifanya Uvamiz Kuiteka Nchi Yetu". Yaan Propaganda Bwana We Ziache Tu. Udictetor Kwa Kiac Kikubwa Umebak Africa.
 
Wahalifu bila Vichapo hawawezi Kusema Ukweli
Piga piga Viboko vya Pua waseme vizuri.
View attachment 510566

Watu wote wanaofanya haya Mungu atawaonyesha unyama wao kabla ya wao pia kurudi kwake. Nilishakutana na mmoja aliyekiri alishawahi kuua watu 17 kwa bastola katika mazingira ya kutatanisha (without the authority of doing so) kwa vile tu alikuwa upande huo na kusema "he is being haunted by the past, spends several hours at night recalling how he was misbehaving and has no peace of mind".
 
Tulipokua Wadogo Primary Tulikua Tunaimba "Iddi Amin Jasusi Tena Lile Joka Kubwa Lilifanya Uvamiz Kuiteka Nchi Yetu". Yaan Propaganda Bwana We Ziache Tu. Udictetor Kwa Kiac Kikubwa Umebak Africa.
Kulikua kuna Nyimbo Moja ya mchakamchaka asubuhi

Idi amini akifa Mimi siwezi Kuliaaa/
Nitamtupa kagera awe chakula cha mamba/
La la laaa la la laaa lala! ×2
 
we jmaa mpumbavu kweli ikitokea we umesingizia na unafanywa hvyo ???
Sasa Ujanja Wako Uko wapi?

Unajua Wahalifu huwa wanasema Kizembe Duniani Kote huwa wanateswa na ndo wanasema Ukweli kama Familia tuu yenye Mtoto mmoja na Wazazi wawili unaweza Kuingia ndani Ukakuta Nyama Zimedokolewa lakini mtoto anaweza kukana Bila Kujua yeye ndo yupo pale na Mama yake sasa nani atakua kadokoa Mboga hapo ni Kichapo tuu na Mtoto atasema tuu kama kadokoa.
 
Natumani we msosi japokuwa sina uhakika lakin licha ya hvyo nitajie nchi gani nyingine iliwahi kufanya HV na ikatoa haki?? kazi ya mahakama n Nn na ndo maana ukikamatwa mwizi we sio mpka pale mahakama ikukute na hatia na ndio maana ukikana mashtaka upelelez unaanza. hicha ya hcho Kuna sheria kanuni na taratibu wewe unadhani hz zifuatwe au zivunjwe??
 
Nchi zetu za kiafrika hazina utaalamu wa upelelezi wa matukio kwa njia za kisasa,kwa maana ya vifaa na personnel. Ndio maana wameendelea kuwaiga wakoloni katika kukamata,kuhoji na kutesa watuhumiwa.Wanasahau kuwa mkoloni alifanya hivyo kwetu sio kwao. Scotland yard ya uingereza walipata kushughulikia kesi moja ya kutekwa waziri wa mafuta wa Nigeria Umar Dikko jijini London kitaalamu sana bila kutesa MTU yoyote Inashangaza vyombo vyetu vinatesa RAIA wao kama vile ni foreigners.

Hivi unajua tuko nguvu nyingi kuliko akili so acha tutumie nguvu tulizopewa na Mungu
 
Nchi zetu za kiafrika hazina utaalamu wa upelelezi wa matukio kwa njia za kisasa,kwa maana ya vifaa na personnel. Ndio maana wameendelea kuwaiga wakoloni katika kukamata,kuhoji na kutesa watuhumiwa.Wanasahau kuwa mkoloni alifanya hivyo kwetu sio kwao. Scotland yard ya uingereza walipata kushughulikia kesi moja ya kutekwa waziri wa mafuta wa Nigeria Umar Dikko jijini London kitaalamu sana bila kutesa MTU yoyote Inashangaza vyombo vyetu vinatesa RAIA wao kama vile ni foreigners.
hata hao unaowaabudu a.k.a wazungu wanatumia torture kisiri siri. Marekani wameacha kutumia tu waterboarding officially kama miaka kumi iliyopita ila kisiri siri wanaweza wakawa wanaitumia. Maana kuna mijitu sugu kui break unaweza ukachukua hata miaka...Mfano wanaopelekwa Guantanamo unadhani nini kinawapata?
 
Nchi za Ulaya na Marekani Wanatumia crude methods za torture kwa foreigners sio kwa RAIA wao
 
Back
Top Bottom