Museveni cautions Security Agencies against use of torture to extract confessions from suspects

Kulikua kuna Nyimbo Moja ya mchakamchaka asubuhi

Idi amini akifa Mimi siwezi Kuliaaa/
Nitamtupa kagera awe chakula cha mamba/
La la laaa la la laaa lala! ×2
Wewe unadhani hufahamiki, time will tell the truth, unafahamika sana!
 
Sasa Ujanja Wako Uko wapi?

Unajua Wahalifu huwa wanasema Kizembe Duniani Kote huwa wanateswa na ndo wanasema Ukweli kama Familia tuu yenye Mtoto mmoja na Wazazi wawili unaweza Kuingia ndani Ukakuta Nyama Zimedokolewa lakini mtoto anaweza kukana Bila Kujua yeye ndo yupo pale na Mama yake sasa nani atakua kadokoa Mboga hapo ni Kichapo tuu na Mtoto atasema tuu kama kadokoa.
Je? Njia sahihi nikumchapa mtoto au kutafuta soln. Ili umsaidie mtoto na jamii yote
 
hata hao unaowaabudu a.k.a wazungu wanatumia torture kisiri siri. Marekani wameacha kutumia tu waterboarding officially kama miaka kumi iliyopita ila kisiri siri wanaweza wakawa wanaitumia. Maana kuna mijitu sugu kui break unaweza ukachukua hata miaka...Mfano wanaopelekwa Guantanamo unadhani nini kinawapata?
Natumai nimeelewa unachokizungumzia ila kwa habari inayozunguwa na mtoa mada Ni kuhusu majeraha ya meya kwenye interrogation ya kesi ya mauaji ya police boss which they are both high profile and can easily be traced by intelligence agencies without the need of getting physical it is more political thing
 
Back
Top Bottom