Museveni akiri sheria ya ushoga itahatarisha uchumii

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
Baada ya sheria ya ushoga kutupwa nje na Mahakama nchini Uganda, wakereketwa wa hiyo sheria walitaka kuirudisha Bungeni ili ikasukwe upya. Hata hivyo Raisi Museveni amewaonya kwamba wasifanye papara kuirudisha tena sheria ya ushoga kwa kuwa hilo litaleta vurugu na pia sheria hiyo inaweza kuathiri ukuzi wa uchumi wa Uganda. Museveni ameenda mbele kwa kusema ameunda tume itakayoongozwa na Makamu wa Raisi ambayo itazingatia maoni ya wanaharakati wanaotetea ushoga.


Maoni binafsi yako pale pale: sikubaliani na suala la ushoga, lakini hakuna haja ya kupoteza nguvu nyingi na wakati na kugombana na wafadhili juu ya sheria za kuzuia ushoga. Anayetaka kuwa shoga shauri yake, ushoga ni wake yeye. Tutumie nguvu kutunga sheria za mambo yanayosaidia jamii, kama kuzuia ufisadi, ujangiri, unyanyasaji wa watoto nk badala ya kupoteza fedha na wakati na kugombana kuhusu ushoga ambao wala hauambukizi.

Museveni ‘not keen to rush anti-gay law'
Kampala -

A lawmaker with Uganda's ruling party says President Yoweri Museveni is urging parliamentarians not to rush to re-introduce a controversial anti-gay law that was invalidated earlier this month.

Medard Bitekyerezo, who supports the legislation, said on Tuesday that Museveni asked them "not to cause chaos" by quickly re-introducing the bill.

He said Museveni formed a committee, to be chaired by the vice-president, to look into the concerns of rights activists and report to him in a month.

The government-controlled New Vision newspaper reported on Tuesday that Museveni warned lawmakers that the bill could hurt the country's economic development.

The US and some European countries cut or redirected tens of millions of dollars in funding to Uganda's government over the anti-gay measure.

It was invalidated by a Ugandan court over procedural flaws.

Source: iol.co.za
 
Back
Top Bottom