Tuna bahati mbaya sana Africa Mashariki, jamaa hawa ni wanafiki kweli kweli - wanacho hofia ni kugehuziwa kibao, wanajua fika kwamba tawala zao zina skeletons in the closet ndio maana wanag'ang'ania kuwa Marais 4 life au ikiwezekana wawarithishe Urais Watoto/ndugu zao, hawajiamini hata kidogo! Nikiona hizi propaganda zilizo pamba moto eti Rais au makamu wake awawezi kuburuzwa mahakamani i.e ICC kutokana na majukumu ya kuongoza nchi repeat majukumu ya kuongoza Taifa - what a lame EXCUSE! Looking back now ndio maana walikuwa radhi ku-falsify matokeo ya kura wakifikiri wakiwa madarakani hiyo tu itakuwa kinga tosha dhidi ya mashtaka yanayo wakabiri huko the Hague, si hilo tu wanafikia hatua ya kushawishi nchi za Kiafrica 50 na ushee eti zijitoe ICC kama njia ya kuwakingia kifua waharifu WAWILI as if Africa nzima ina revolved around RUTO na Uhuru - hii ina maana gani? Kama wanajua hawana hatia au hawana kitu cha kuficha kwa nini hawana ujasiri wa kwenda kujitetea, badala yake wana-invent excuses chungu mzima na kuanza kuwashtumu ma jaji wa ICC bila sababu yoyote ya msingi - au walifikiri kwa kuwa prosecutor/jaji ni Wafrica wenzao hilo tu ndio litawafanya wa mis-carry justice?Huyu mu7 anazeeka vibaya sana. Eti ICC ni arrogant! Mimi nadhani yeye ndio arrogant. Ukitaka kujua hii chuki na ICC inatoka wapi, fahamu kuna m23 kama 100 wanatafutwa na ICC. Halafu rafiki na ndugu yake kagame ni possible candidate. ICC ndio jibu la viongozi dhalimu wa afrika. Ona jinsi wanavyoihofia!... Eti ICC inawaandama waafrika, kama wao ni dhalimu ICC wafanyaje sasa?
Mkuu wangu Kabaridi, kwani unafikiri kuna Mwafrica yeyote ambaye anataka wakina Uhuru na Ruto waonewe - hakuna; tunachotaka ni kuona sheria inachukua mkondo wake bila ya kulazimisha mambo, hii itasaidia sana kuwashtua Viongozi madikiteita wa Kiafrica wanao run nchi zao kama mali ya UKOO - mtu usitegemee Breed hiyo ichangamkie masuala ya ICC, kwao ICC ni mwiba wakipata upenyo wakujitoa uwana chama wa ICC watafanya sherehe mwaka mzima - tukubali tusikubali baadhi ya Watawala wa Kiafrica ni janga, bila ya kuwashikilia carrot na fimbo tutaumia sana. Back 2 the point, mimi sioni sababu ya akina Uhuru na Ruto kuogopa kwenda kijibu mashtaka huko the Hague, kama wako clean kuna haja gani ya kuogopa au kutafuta visingizio visivyo na mantiki, kwanza mawakili wao wanaonekana ni Pro kabisa. Mimi nawashauri wahachane na ngojera za akina M7 na PK, when worst comes 2 worst I can assure U jamaa hawa wataingia mitini na kuwahacha wakina Uhuru na Ruto licking their wounds - nilisha wasoma sana jamaa hawa, mambo yao ni irratic sana hawana urafiki wa kudumu wana permanent interest basi - wana emulate Uncle SAM to the letter. Siku moja nilimuona mama huyu Prosecutor wa ICC amekasirika kutokana na kauli za akina M7 na mwezake! She was visibly annoyed kutokana na maneno ya jamaa hawa ambao wakati mwingine usema bila ya kutafakali mambo like unguided missiles, mkuu Kabaridi sasa wakianza kumkorofisha mama huyu ambaye ana uwezo wa kuziba mianya yote ambayo wakina Ruto na Uhuru wanaweza kujinasua, unategemea viongozi hao watakuwa wageni wa nani? Hivi viongozi wenu wana amini kwamba M7 ana ubavu wa kwenda the Hague na kuwatetea wakina Uhuru na Ruto au ni michezo yao ya kuigiza. Mambo mengine bwana unaweza kuamini kwamba M7 ndie alikuwa anamchomea utambi Kony aburuzwe mahakamani the Hague, ukija suala la Kony hapo M7 ICC anaitambua sana lakini akija mtu baki anaona ICC si mali kitu - wako highly unpredictable like Mosoon Winds.judicial process?nina amini kama ICC walitaka kuwafungulia mashtaka uhuruto kwa minajili ya haki kwa walioathiriwa, ingepaswa kufanya hivyo mapema. NSIS walikuwa na ushaidi huo, mbeleni, kabla ya machafuko ya 07/08, mbona ICC wasitumie ushaidi walipewa kuwa fundisho kwa madikteta wengine. yapasa waliokuwa wakuu serikalini siku hizo kuwajibika na kutoa habari bila kuwa na hofu uchumi utasamabaratika.hivi karibuni tunashuhudia makamu wa rais akiwajibika kutafuta haki kwa waathiriwa na mwezi wa novemba Rais wa kenya kaapa ataendelea kufanya kazi na ICC kutafuta ukweli kuhusu vita vya wenyewe-kwa-wenyewe ya 2008/2009, licha ya vikundi vya kutetea haki za kibinadamu kujaribu kutumia vyombo-vya-dola kujenga propaganda yao wakifadhiliwa iwe kama ushaidi kwenye mahakama hiyo...wakati bashir alipowasili kenya kushuhudia uzinduzi wa katiba mpya, kenya ilipaswa kumkamata kama mojawapo ya vipengee vya rome statues, mbona ICC isifanye kazi na interpol, kwa mfano kumkamata. ni huu ufidhuli inayofanya wakenya kutaka kujiondoa kutoka kwa ICC.vinginevyo, ICC haisukumwi na yeyote kuchukua hatua ya kuwafunga madikteta. yapaswa kutumuia uhuru huo huo kuwakamata madikteta kama bashir.juzi tena, bashir kakubaliwa na marekani kupata visa kuhudhuria kongamano la umoja wa mataifa na kuipinga madai ya wamarekani kukataa kutoa visa yake, kisa na maana aliotoa ni "it was his political right to travel to the UN summit"Je! ICC ni taasisi ya kimataifa ya kisiasa??Marekani, wakatoa taarifa, kuwa wao sio wanachama wa ICC na hawamiliki, nguvu zezote, aidha kutoka kwa UNSC kumzuia bashir kuhudhuria kongamano kwa sababu ya war-crimes.kama ingepaswa kenya kumkamata bashir wakati huo, sababu zetu za kufanya hivyo zingekuwa zipi?hivi tunavyozungumza sudan kaskazini haipo chini ya mkataba wa roma, mbona ICC wasingoje bashir kuwajibika kukubali mkataba (kama kenya ilivyokubali), ndiposa wamchukulie hatua.je, kwa mfano, shutma za ICC itakapoanza kumlalia kagame kwa kufadhili M23, itawezekana kagame kuzuiwa kuizuru mataifa kama tanzania ambao pia ni marafiki wa korti ya ICC??
Mkuu wangu Kabaridi, kwani unafikiri kuna Mwafrica yeyote ambaye anataka wakina Uhuru na Ruto waonewe - hakuna; tunachotaka ni kuona sheria inachukua mkondo wake bila ya kulazimisha mambo, hii itasaidia sana kuwashtua Viongozi madikiteita wa Kiafrica wanao run nchi zao kama mali ya UKOO - mtu usitegemee Breed hiyo ichangamkie masuala ya ICC, kwao ICC ni mwiba wakipata upenyo wakujitoa uwana chama wa ICC watafanya sherehe mwaka mzima - tukubali tusikubali baadhi ya Watawala wa Kiafrica ni janga, bila ya kuwashikilia carrot na fimbo tutaumia sana. Back 2 the point, mimi sioni sababu ya akina Uhuru na Ruto kuogopa kwenda kijibu mashtaka huko the Hague, kama wako clean kuna haja gani ya kuogopa au kutafuta visingizio visivyo na mantiki, kwanza mawakili wao wanaonekana ni Pro kabisa. Mimi nawashauri wahachane na ngojera za akina M7 na PK, when worst comes 2 worst I can assure U jamaa hawa wataingia mitini na kuwahacha wakina Uhuru na Ruto licking their wounds - nilisha wasoma sana jamaa hawa, mambo yao ni irratic sana hawana urafiki wa kudumu wana permanent interest basi - wana emulate Uncle SAM to the letter. Siku moja nilimuona mama huyu Prosecutor wa ICC amekasirika kutokana na kauli za akina M7 na mwezake! She was visibly annoyed kutokana na maneno ya jamaa hawa ambao wakati mwingine usema bila ya kutafakali mambo like unguided missiles, mkuu Kabaridi sasa wakianza kumkorofisha mama huyu ambaye ana uwezo wa kuziba mianya yote ambayo wakina Ruto na Uhuru wanaweza kujinasua, unategemea viongozi hao watakuwa wageni wa nani? Hivi viongozi wenu wana amini kwamba M7 ana ubavu wa kwenda the Hague na kuwatetea wakina Uhuru na Ruto au ni michezo yao ya kuigiza. Mambo mengine bwana unaweza kuamini kwamba M7 ndie alikuwa anamchomea utambi Kony aburuzwe mahakamani the Hague, ukija suala la Kony hapo M7 ICC anaitambua sana lakini akija mtu baki anaona ICC si mali kitu - wako highly unpredictable like Mosoon Winds.