Muro amgaragaza malinzi na mwesigwa wa tff

Nimependa majibu ya muro..! Inaandikiwa club ya yanga siyo Muro....
 
Tulikwisha waonya mapema kuwa Jamal Malinzi hajui mambo ya mpira yupo hapo kupiga dili tu; ndio maana amezungukwa na bojo wenzie!!!
 
Malinzi kaenda pale kunenepesha mashavu yake tu hana la ziada
 
Hasira za kufungwa mmeziamishia kwa malinzi mwaka huu mpka mtiwe mimba mmae..
 
...we kizibo kumbe umekuja kuanzisha uzi huku!, Muro lazima apande kizimbani, hiyo barua aliyotumiwa na TFF haikuwa na jina la kamati itakayomuhoji,sasa hilo likisharekebishwa huyo Muro wako lazima apandishwe kizimbani,aone malipo ya mdomo wake mrefu!
 
Ta

taasisi kubwa kama tff inakosea barua?tatizo Sana hasira nae
 
Back
Top Bottom