Nilionaga tangazo kwenye nguzo, mshahara 200k mimi huyo kwa mwenyekiti barua nikapewa, kufika site naikapigwa intavyuu, naulizwa una uzoefu na kazi (marketing director)nikajibu ndio eti intavyuu imeisha, najiuliza imeishaishaje kizembe hivi, naambiwa ingia na huyu agent humo, kuingia kumbe ni stoo ya vyombo, nilibebeshwa mabeseni, machupa na majagi sikuamini, afu jioni nalipwa buku5 sikurudi nikiona neno vyombo nakumbuka tu ile siku!