Mmekaa kimya wakuu naombeni msaada wenu hapaHabari Wakuu naombeni muongozo nahitaji kuanzisha biashara ya kuprinti tsheti na kofia na vinginevyo naombeni muongozo kuhusu mtaji na mambo yanayohitajika🙏🏻🙏🏻 na sehemu nnayoweza kuvipata ivyo vifaa kiurahisi na kwa bei nzuri🙏🏻
Kacheki tu na Chatgpt utapata abc pa kuanziaMmekaa kimya wakuu naombeni msaada wenu hapa
Habari Wakuu naombeni muongozo nahitaji kuanzisha biashara ya kuprinti tsheti na kofia na vinginevyo naombeni muongozo kuhusu mtaji na mambo yanayohitajika🙏🏻🙏🏻 na sehemu nnayoweza kuvipata ivyo vifaa kiurahisi na kwa bei nzuri🙏🏻
Nicheki kaka nikupe maelekezoHabari Wakuu naombeni muongozo nahitaji kuanzisha biashara ya kuprinti tsheti na kofia na vinginevyo naombeni muongozo kuhusu mtaji na mambo yanayohitajika🙏🏻🙏🏻 na sehemu nnayoweza kuvipata ivyo vifaa kiurahisi na kwa bei nzuri🙏🏻
Mtaji INATEGEMEA NA NJIA UTAKAYOTUMIA KUFANYA HIYO KAZI.Habari Wakuu naombeni muongozo nahitaji kuanzisha biashara ya kuprinti tsheti na kofia na vinginevyo naombeni muongozo kuhusu mtaji na mambo yanayohitajika🙏🏻🙏🏻 na sehemu nnayoweza kuvipata ivyo vifaa kiurahisi na kwa bei nzuri🙏🏻
Asante sana mkuu nimepata mwanga wa kutoshaMtaji INATEGEMEA NA NJIA UTAKAYOTUMIA KUFANYA HIYO KAZI.
NJIA ZILIZOJIZOLEA UMAARUFU NI HIZI HAPA
1. DTF, 2.SUBLINATION, 3.PLOTTER CUTTING KWA VINYL SHEET, 4.SCREEN PRINTING
KILA NJIA HAPO INA MAOUNGUFU HIVYO WENGI HUWA NA VIFAA VYOTE HAPO JUU LAKINI NJIA RAHISI YAANI AFFORDABLE KWA KUANZIA KWA PESA YA MADAFU NI SCREEN PRINTING HAPA NI KAMA TU UTAIFANYA KWA KUWEKA VIMAANDISHI NA SINGE COLORED IMAGE KWENYE TSHIRT, MIFUKO , VIBAO N.K OTHERWISE UKITAKA ITUMIA KWA ADVANCED IMAGE/MICHORO YA RANGI BASI UNAWEKEZA ZAIDI KWENYE SCREEN NA WINO.
HAPA JUU NJIA GHALI ZAIDI NI DTF MACHINE ZA UHAKIKA NI MILIONI 8 NA USHEE, KWA MACHINE ZA KUKONVERT UNAWEZA PATA CHINI YA HAPO KAMA ZILE PROCOLORED MILIONI 3 MPAKA 4. AU ONGEA NA WACHINA WAKUBUMBIE ZA KINA UCHEBE.
MACHINE ZOTE UNAWEZA PATA KARIAKOO KWA ODA AU KUAGIZA MWENYEWE UKIAGIZIWA TEGEMEA GHARAMA KUBWA NA UKIAGIZA HAKIKISHA UNAJIA UNACHOAGIZA.
SIJUI KAMA NIMEJIBU ULIZA SWALI NITAKUJIBU