Muongo Vs. Mengi. Kimenuka !

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265
Muhongo ataleta machafuko humu nchini na kauli zake chafu za uropokaji. Anadai hawezi kuongea na watanzania kwenye mambo ya uwekezaji kwenye gesi kwa sababu watakuwa wanapoteza muda wake.....!

---------------------------------


----------------------------------



 
Huyu profesa vipi? Nadhani siyo busara mtu mzima kuwa mwongo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Chura ni chura tu hata ukimvalisha chupi atapenda atembee uchi
 
BAK naipenda Tanzania ila nawachukia viongoz wake to the extrem
 
Last edited by a moderator:
Uprofesa wa jamaa unanitia shaka sana....au ni profesa mjinga....le profesol....maneno yake hayaonekani km yanatoka kwa profesa....
 
Kiongozi yeyote kutoka CCM ni janga la kitaifa!!!!
 
KIsha oja lakini ajue kuwa watanzania wa sasa wamehudhuria japo shule za kata ba kufuta ujinga,tusubiri 2015 tu
 
I sometimes I dont really understand you JF members, when the tangible matters and things that changes community life in general, you all just run away from it. This is veryx5000 important, I want to see some really comments here by dawn. It can't be, nani anataka dharau, eti tanzanians can on invest on fruit processing, I DONT AGREES 1000000%, we can do a lot with our ability, motivation,commitment and for our Nation,
Au ndo vile tena, BUS LA KICHINA, DEREVA MCHINA, KONDA A CHINESE AND THE MECHANIC IS CHINESE.

MLACHAKE, THE BOSS, AND all Economical related personell Re needed here.
Waiting!!!!
 
Kumbe Tanzania tumejaa vitalu! Kuna vitalu vya viwanja (majengo), vitalu vya kuvuna wanyama hai au kuwapiga huku ukishangilia na sasa vitalu vya kuvuna gesi! Bado vitalu vya makaa ya mawe, vitalu vya urani, vitalu vya chuma, nk. na bado kuna vingine vinakuja. Kwa bahati mbaya vitalu vingi humilikishwa kwa wageni. Kwa mwendo huu wa vitalu na maliasili tuliyonayo muda si muda Tanzania yote itakuwa vitalu na hivyo itamilikishwa!
 
haka kama tunawekeza kwenye juice tunataka haki yetu ya sera ya gesi na uwazi ktk gesi yetu
 
Tatizo la viongozi wetu tuliowaweka madarakani wanatuona watanzania ni walewale wa miaka ya 47.Sijui tunakoenda Tanzania yetu itakuwaje na haya madawa ya kulevya na ukiangalia viongozi haohao ndiyo wanaotuharibia vijana kwa kuwafanya punda wa kubeba mizigo.Inabidi kujiuliza ni kwa nini viongozi wetu wanakuwa na kiburi cha kuweza kuwadharau hata waliowaweka kwenye hayo madaraka.
 
Wabadili tena sheria kama walimfanyia yule, na akawala chenga vile vile.

Only in Tanzania.

As long as Mengi anatimiza minimum requirement anastahili kupewa vitalu, period.
 
Ndio maprofesa wetu wa tz wapo km wagonjwa wa akili baadhi yao
 
Tatizo bw. Mengi hukimbilia media na wananchi anaposhindwa kushawishi juu ya mambo yake ya kibiashara.

I support Muhongo kwamba watanzania hatuna uwezo.....suluhisho sio kuwapa wageni bali ni kama alivyotuasa baba wa Taifa!
Mengi na kundi lake waache ulaghai.
 
Don't be surprised, it is CCM government policy to embrace foreigners!
 
Uprofesa wa jamaa unanitia shaka sana....au ni profesa mjinga....le profesol....maneno yake hayaonekani km yanatoka kwa profesa....

Waswahili mmepewa vitalu vya kariakoo, bonde la mchicha.
 
Watanzania tujifunze! Ma-professor ni ma-academician na siyo wanasiasa. Mtu anaweza kuwa prof na kuwa layman kwenye politics! Hii tabia ya wasomi kutumiwa kusiasa ipunguzwe. Wasomi ni part ya utendaji wa serikali akishindwa kuisaidia nchi katika nafasi yake ya u-professor usitegemee ataweza akipewa nafasi nyingine. The guy is so arrogant mpaka anatia hasira! Na hii arrogance inatokana na yy kutokuiomba nafasi hiyo so hajali uwakilishi wa commoners zaidi ya yule alimzawadia hiyo nafasi.
 

shame of you! aupo serious mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…